niambie - tresor lyrics
[verse 1]
hapa nyumbani unajua
we njo moyo
jamaa inakupenda piya hauoni
niambie jua nini unataka wende
we dada uki enda na mbali
mi nta gonda
safari yako mbone shida we dada
niambie jua nini unataka wende
[pre*chorus]
we dada uki enda fata njia
ile uta acha watoto
we dada uki enda fata
njia ile utanivunja moyo
[chorus]
umeona machozi ginsi in a shukaa
watoto wetu wata baki na nani
we njo fuhaha yetu baki basi
tu ongeye
[verse 2]
baki tukae pamoja
mpaka mwisho
najuwa mi sikupe wakati
zongeya
nimabiie jua nini unataka wende
we mama ukibeba mapenzi
yako mbali
dunia itakuwa giza hanuone
niambie jua nini unataka wende
[pre*chorus]
we dada uki enda fata njia
ile uta acha watoto
we dada uki enda fata
njia ile utanivunja moyo
[chorus]
umeona machozi ginsi in a shukaa
watoto wetu wata baki na nani
we njo fuhaha yеtu baki basi
tu ongeye
[bridge]
we dada uki enda fata njia
ilе uta acha watoto
we dada uki enda fata
njia ile utanivunja moyo
[chorus]
umeona machozi ginsi in a shukaa
watoto wetu wata baki na nani
we njo fuhaha yetu baki basi
tu ongeye
Random Song Lyrics :
- raw honey - family of the year lyrics
- frosinone - demo version - calcutta lyrics
- slindele wena - svuyo kumkani lyrics
- falling away - flowertruck lyrics
- mandela - n.c.r (not a christian rebel) lyrics
- lume - fernando vários lyrics
- my war - valkyer lyrics
- rap or die 3 (farghly blax vs mahmoud hussin) - farghly blax lyrics
- sve je uzalud - milica todorović lyrics
- way to die - rexoria lyrics