si ustarabu - tmk wanaume family lyrics
verse 1: juma nature
kuna mambo uki yasikiliza ndugu yangu unaweza uka (?)
ni mambo ya ajabu, babu’ wala sio ustaarabu
hata hatuja salimiana, unaanza kuniwakia
hujajua hali yangu, hujajua nia yangu
yaani ki ufupi, hujajua jinsi gani nilivyo amka mwanangu
kuna tabia zinatisha, zinatisha kabisa ‘tena zisizofaa
eti mtoto wake mwenyewe alie mzaa’ anamtaka
ndo kusema anakula kuku na mayai yake ambayo (?)
au ndo tuseme utakuwa upumbavu wake… ‘usiofaa
haya we dada; noma hiyo msh’kaji (msh’kaji)
mtaani ata anadiriki kujiita msagaji
wewe mtoto mzuri tu, huwezi kukosa hata ulaji
hizi mbwembwe za duniani, jamani na zitamani
yule naye (?) kaiba jogoo la jirani, la jirani
tulieni jamani ebu acheni huo utani
(?) mia hamsini tu’ kashalewa pombe
akaingia bar’ watu wote sisi hapa tuna mwelewa
si tunapo mfikiria, tunaona kama yeye atajijua
ndo sababu tunajua kule bar amekwenda kusukutua…
[chorus: juma nature]
ustaarabu’ unatakiwa hapa duniani
ustaarabu’ ni jambo bora hapa tanzania
ustaarabu’ unatakiwa hapa duniani
ustaarabu’ ni jambo bora hapa tanzania
nashangaa’ sijui kwanini watu wengi hawajui maana ya ustaarabu
nafikiri’ toka walipozaliwa walikuwa hawana ustaarabu
nashangaa’ sijui kwanini watu wengi hawajui maana ya ustaarabu
nafikiri’ toka walipozaliwa walikuwa hawana ustaarabu
[verse 2: dollo]
kuna tabia n*z*chukia, si pendi hata kuzisikia
wengine (?) ustaarabu
sio ustaarabu tu, lazima tuwe na adabu
kutokujua madhara, jе kinga unaifahamu?
nyumba za kupanga (?), zina hasara yake
mtu amekaa, amepumzika na mkе wake
ko! ko! ko!, ho! fungua basi
baba shomari leo zamu yako kusafisha choo
ili mradi maneno basi kulete migogoro
watu wengine wana maudhi’ sijui wanafanyaga makusudi
una mnufaisha nani, una mpa faida nani?
usafi wake wa ndani, shombo anatupia dirishani
watu wengine nao; kwa kuwaharibia wenzao
anaanza ho, msh’kaji, msh’kaji samahani ‘huyu ndo yule shemeji wetu wa mbagala au kimara
usione kama utasifiwa, kila mtu atakuchukia
ustaarabu gani, shule umesomea wapi?
jamani…jamani…jamani… jamani… jamani!
mke na mume mlikubaliana, mkaridhiana eh
miezi mitatu inapita mwenzako unam bwaga
mke akianza maudhi, alafu *n*leta vituko
unamuuliza pasi iko wapi?
ana kujibu (?) uko!
basi hapo ujue manyama kashampitia huyo!
chorus: juma nature
ustaarabu’ unatakiwa hapa duniani
ustaarabu’ ni jambo bora hapa tanzania
ustaarabu’ unatakiwa hapa duniani
ustaarabu’ ni jambo bora hapa tanzania
nashangaa’ sijui kwanini watu wengi hawajui maana ya ustaarabu
nafikiri’ toka walipozaliwa walikuwa hawana ustaarabu
nashangaa’ sijui kwanini watu wengi hawajui maana ya ustaarabu
nafikiri’ toka walipozaliwa walikuwa hawana ustaarabu
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- m'ap marye - klass lyrics
- new year - going to the sun lyrics
- azadeham (sehgah) - hayedeh lyrics
- دوخة - عبدالله الهميم lyrics
- mr loverman - ricky montgomery lyrics
- pas de limites - hayce lemsi feat. volts face lyrics
- destined to shine - jet 2 lyrics
- syukur - young ikhwan lyrics
- to di top - masicka lyrics
- made for sin - sinheresy lyrics