livu bila chenga - tmk wanaume family lyrics
verse 1:
va*va*va*
vakoko vya mama mwitu
tu*tu*tu*tu*
majitu mwitu msitu, g.w.m!
sisi ndo sisi’ maskini jeuri, viburi hatuf*gilii
viraka’ ko kote tunaishi
ku “make”, ku changa, ku ganga njaa
vichaa’ si hatari kulala njaa’ so kikomandoo
fulu ng’wamba, funga mkanda, makamanda! brigado
(?) k.r., sir nature ngangari
jabali’ jemedari, sio mchezo’ sio matani
ki bongo karne, kizungu “millenium”
tumerudi ki ukweli kweli
kazi kazi, kweli kweli’ ni shughuli pevu
(?)
chorus:
laivu bila chenga’ hapa hakuna ngoma droo
mistari zaidi ya show’ sema kama unataka more
machizi waki*flow’ nyie wenyewe mta*blow (eh eh eh eh)
laivu bila chenga’ hapa hakuna ngoma droo
mistari zaidi ya show’ sema kama unataka more
machizi waki*flow’ nyie wenyewe mta*blow (eh eh eh eh)
verse 2:
eyo eyo, mishale’ kengele
hali yenyewe ni ile ile, buti na mawani, full jacket
mbona haree… haree!
hakuna anayependa kwenda maisha yale
ila hali ikibana inatubidi tu (?)
toka alfajiri bila bila tu mbona kapera
fanya makeke’ mkubwa said fella wanao tutoke , tucheke
ni laivu bila chenga, haina waya wala antenna kuunga unga
verse 3:
utake, usitake
hii ndo laivu bila chenga
fanya tu (?) , tuwake…mmezidi kutu (?)
(?)
tusile wala tusilale
laivu bila chenga, kwa akili yao, changu chao
dili kwenye mtandao, meseji singo tupige bao
tunataka haki, hatutabiriki
tupo alone hatakama hatujui ku “tune”
watoto wa kiumeni, (?) inaishia maskani
laivu bila chenga
zungusha! zungusha!
chorus:
laivu bila chenga’ hapa hakuna ngoma droo
mistari zaidi ya show’ sema kama unataka more
machizi waki*flow’ nyie wenyewe mta*blow (eh eh eh eh)
laivu bila chenga’ hapa hakuna ngoma droo
mistari zaidi ya show’ sema kama unataka more
machizi waki*flow’ nyie wenyewe mta*blow (eh eh eh eh)
verse 4:
refarii kabeba’ kapeta
ushindi wa mezani, bila k*mpokonya mtu tonge kinywani
(?) funga mkwiji
(?)
kwao kicheko, kwetu manung’uniko
ujiko, mwiko!
laivu bila chenga, muda umetimu
ukiona mwenzie ana nyolewa, we tia maji’ kaa kushoto
subiri mahafali yako
utakula jeuri yako
usawa wako, kivyako
dogo’ hapa ni ‘luteni na dotto
fuatilia nyenzo, upotee ko…
muziki upo damuni, sio zali wala ngekewa
kimdondo’ kibati bati ukinchekea (ha ha ha)
(?) fedheha, ntaipata je?
imeiota matairi… upande w*ngu, sijui’ kwako ‘wewe dotto mwenzangu
nadhani wote ni wale wale’ jamii ni ile ile
kwako patupu, kw*ngu patupu
hakuna cha msalie’ yeyote mbele yetu ndiye
haya zege, twende kazini!
haya ukuli nao, twende kazini!
ole wako ulieshika mpini, sie tumeshika makali
shoka likigeuikia upande wako, ujue ni hatari
chorus:
laivu bila chenga’ hapa hakuna ngoma droo
mistari zaidi (?) sema kama unataka more
machizi waki*flow’ nyie wenyewe mta*blow (eh eh eh eh)
laivu bila chenga’ hapa hakuna ngoma droo
mistari zaidi (?) sema kama unataka more
machizi waki*flow’ nyie wenyewe mta*blow (eh eh eh eh)
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- no hard feelings - justus young lyrics
- foda com a fanha - mc theuzyn lyrics
- swegbe - shaykeh lyrics
- way too lit - king2s lyrics
- iron duke - aka lyrics
- the man who sold his face - no decay lyrics
- smoke vibe - yrkdarapper lyrics
- hello kitty face mask - soonish lyrics
- cut - daniele terranova feat. chakuza lyrics
- all the stars - davina michelle lyrics