lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chapa kipopo - timmy tdat lyrics

Loading...

eyo tdat come hold me waist
boy better handle this bad gyal craze
(rosa ree)
hii ni mkate unaeza leta niidu

mara ngapi nitakushow hii ni ugonjwa can’t cure
sometimes me hudhani ata nililaaniwa
vitu me na spit, utafumaniwa
na hii nai*nail it, manicure

nasikiza wakibonga about hao kuonanga c
hii mchezo ni rahisi kama abc
ama 123, ama don’t get me
ama you and me mpaka kileleni

umenipa key nitakosaje kuingia kwako
umenibuyia watch nitakosaje time yako
we ni kartel nitakosaje vibe yako
na vile nimekunyoa basi me ndio baba yako

na ipiga ni kama imenikosea
umeifinya nang’ang’ana kutoshea
ni kapyenga ama unaipima
pima, pima nang’ang’ana finya

chapa kipo, chapa kipopo
chapa kipo, chapa kipopo
chapa kipo, chapa kipopo
iwe ngoma ya kukesha sio ngoma ya kitoto
ooh me na chapa kipo, chapa kipopo
chapa kipo, chapa kipopo
chapa kipo, chapa kipopo
iwe ngoma ya kukesha sio ngoma ya kitoto

god is in this b*tch, got you want a sadlife
motherf*ckers hate coz am getting prime time
ain’t gotta apologize coz am fine fine
if you ask me, everytime is k!ll time, huh

everybody wanna rhyme to the song
murder murder murder like am don corleone
its lunch time like bird with a thong
put da ting in my face, feed me da ding dong

eyo tdat come hold me waist
make me bend down when am giving you the taste
boy better handle this bad gyal craze
you know you can’t cum before me finish the race
better know dat, me too

leta raha, leta raha, give me more
come give me more, give me more, give me more
leta raha, leta raha, give me more
come give me more, give me more, give me more
chapa kipo, chapa kipopo
chapa kipo, chapa kipopo
chapa kipo, chapa kipopo
iwe ngoma ya kukesha sio ngoma ya kitoto

ooh me na chapa kipo, chapa kipopo
chapa kipo, chapa kipopo
chapa kipo, chapa kipopo
iwe ngoma ya kukesha sio ngoma ya kitoto

come nikupe sugar, basi me ndo uniite daddy
vice versa basi we ndo nikuite mummy
uliza ma ex w*ngu wanajua ni long story
nika biggy hakatosheangi kwa pori

give me that, give me that, give me that
thing so sweet, take that timmy dat
when you get your more dat
wait, how do you say do me in your language?

ulipe wapi beiby, ulitaka come hivi
na go harder, anasema come easy
nime dumu zas ati nitafika lini
ni zoezi gyal, niko me napiga tizi

chapa kipo, chapa kipopo
chapa kipo, chapa kipopo
chapa kipo, chapa kipopo
iwe ngoma ya kukesha sio ngoma ya kitoto
ooh me na chapa kipo, chapa kipopo
chapa kipo, chapa kipopo
chapa kipo, chapa kipopo
iwe ngoma ya kukesha sio ngoma ya kitoto

na ipiga ni kama imenikosea
umeifinya nang’ang’ana kutoshea
ni kapyenga ama unaipima
pima, pima nang’ang’ana finya

nakupa kitu roho inapenda
wamekufa keeper na defender
nikutia goli umetaka
this thing too good to make a boy sing

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...