moe habari (remix) - the stereo lyrics
[intro: billnas]
oh my god
billnas, billnas yeah
(nic)
(wasafi records)
ayolizer
[verse : billnas]
mind your step kabla haujaanza ku-diss
i only see you late i’m trying do like this
to get bust like boom bro
so wape habari mkiwa mnanyonga tungi yoo
(oh my god)
napiga pasi ndefu ka staiker wa middles bro
once upon a time i was just a little bro
but now nimekuwa siogopi hata prison bro
ukizingua n-z-ngua middle finger you
[verse 2: stereo]
ni makamuzi ya lana tangu juzi na jana
natikisa juzi kwa sana ni blues na suzi na anna
matanuzi ya jana marapper wanaunga flow
kama mchuzi wa nyama na chemical
hatuna noma, bado nakoroma ambia serekali
hakuna roma, tabora sio dodoma, so boma
ukizima taa nina generator, vile na ng’aa ninameremeta
ukich-m-a nachomeka, safi bila doa nasomeka
[chorus: rich mavoko]
we mpe habari
alipojitusu mwambie kayakanyaga
yani mbona shwari
wakijipindua twakusanya mazagazaga
yule demu alijitusu kwa savana
nilipo m-force akabana
yule demu alijitusu kwa savana
nilipo m-force akabana
[verse 3: stamina]
ah! i don’t see them
nafasi yao ndogo kwenye hili game
kila nikitoa track mimi na-muder dem
what the shame, mimi nataka pesa we unataka fame?
macho kodo a.k.a mfalme mswati
mende wadogo hawaangushi kabati hee
kichwa madenge shingoni manati
wapeni habari sholo nipo ndani ya wasafi
acha mf-ko utune pesa zichunwe
bata haunipi wewe asa kwanini unune?
nikikupa hi usinunue, kazana ujitume
wenye nyota za punda njooni kw-ngu niwatume
[verse 4: jay moo]
iyee! njoo unishike mkono ma
njoo tutoke watuone na usiwaogope unichumu kwa mdomo live
and we should not fear no one
we should now baby
cheki ambavyo unanikuna daily
siendi nyuma mimi na sk-ma mbele
all the mothers and girls wanakuonea gere
wanaosema wewe ni b-tch wanacheza
one man’s thrash is another man’s treasure
kuja nipe kiss kisha another wanaongeza
na bei zao wamesha p-ss mimi najenga hadi kibanda
nimenasa
we mpe habari na sasa nataka nimpe funguo ya gari
zaidi mkiongea namtolea posa mwali
jisi nilivyo kolea na huyu shori (famous)
[chorus: rich mavoko]
we mpe habari
alipojitusu mwambie kayakanyaga
yani mbona shwari
wakijipindua twakusanya mazagazaga
yule demu alijitusu kwa savana
nilipo m-force akabana
yule demu alijitusu kwa savana
nilipo m-force akabana
[verse 5: khaligraph jones]
i don’t fear man
even though i was born in here man
ukikosa form mi nakutupia plan
khaligraph jones in your ear drum sikia son
sitaki pressure za watu
hali ikiwa ngumu hata kwa mkeka nitakaa tu
me hukesha kama fyatu
o.g. nataka iyo doo n-gg- pesa madafu
me ni boss lazima nivae suit, just swagger hamtoshi hata minikae uchi
ume-buy gucci? aje? na sio wote tunajua umesota n-gg- minimize chuki
mi ni smart for start sio bad to the matter i’m bad me ni shutter hatari
and i’m straight toka gata micasa sucasa sio brother we wape habari
[chorus: rich mavoko]
we mpe habari
alipojitusu mwambie kayakanyaga
yani mbona shwari
wakijipindua twakusanya mazagazaga
yule demu alijitusu kwa savana
nilipo m-force akabana
yule demu alijitusu kwa savana
nilipo m-force akabana
Random Song Lyrics :
- ride - iamfiveee lyrics
- red blossoms - +red+ (rap) lyrics
- question - j-$killz lyrics
- haluun sun palaavan - robin packalen lyrics
- march 2014 - hip hop release dates lyrics
- drama king - ljundisputed lyrics
- yükselmemi istemezler - batuflex lyrics
- magic - you me at six lyrics
- at the same time - the coronas lyrics
- lgmdgf - le before - episode 19 : "quadra" - greg frite lyrics