yerusalemu - the parapandaz lyrics
Loading...
yerusalemu x3 mji wa amani
yerusalemux3 mji wa upendo
watafika huko waliokombolewa, na damu takatifu, damu ya mwana kondoo oooohh
watafika huko walio safi moyo, walioshinda vita ,vita vya mwana kondoo.x2
ninautazama mji wametameta, kwa mawe ya dhamani natamani kufika, oooh
nikishinda vita nitaingia kwa lango,mlango huu wa yuda , mlango waningojea x2
unashuka hima mji wakaribia mji yerusalemu, nauona kwa mbali mji yerusalemu
ninautazama mji wa baba yangu, makao ya amani zayuni mi nitafika x2
Random Song Lyrics :
- cabaret - cab calloway lyrics
- wheel of time (orchestral version) - blind guardian lyrics
- коврик (mat) - маша hima lyrics
- 2009 - barry bonds lyrics
- feeling like love - ray j lyrics
- loukan - moro lyrics
- ocean song - jack cookson (folk) lyrics
- natolin - tzwm lyrics
- imaginar - víctor manuelle lyrics
- say aye - pete flux & parental lyrics