yanatisha - the humbled tanzania lyrics
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k*mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k*mtii
unapokosa nguvu ya kwendelea
umwendee yesu
ana nguvu ajabu
nguvu zake mungu
zaweza tenganisha mwili na roho
ziliumba ulimwengu
zashangaza ajabu
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha, yanatisha, yanatisha
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha yanatisha yanatisha
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ni mungu wa huruma
ni mwingi wa rehema
ni mungu wa furaha
ana nguvu ya kubariki
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k*mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k*mtii
Random Song Lyrics :
- nouveau - ilysm lyrics
- razor love (archives) - neil young lyrics
- habet ya zaman - حبيت يا زمان - wael jassar - وائل جسار lyrics
- there was a room - sarah kinsley lyrics
- a song for the person i love - xluno lyrics
- gọi anh - nhà mứt gừng lyrics
- haciendote el amor - ñengo flow lyrics
- young for a day - rouen lyrics
- you - a'st1 lyrics
- ziplock quilts that kill from hot (risu mix) - kfc murder chicks lyrics