lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

awino - teezeh lyrics

Loading...

t–zeh – awino lyrics
(intro)
kila walati nikiona unaongea na mwanaume naskia tu vibaya
mr. me ndio kijana unadeserve me sipendangi vituko na drama
can’t you see am feeling and fallimg on you baibe
please take me to you father
oh ninakupenda mama ningekuwa na doh
saa hii ungekuwa unaimba (hallelu) halleluya

awino me nataka twende downtown now,eh
nikuoneshe venye sisi tunarun town now, eh
awino me nataka tu nambako
na kama huna basi nipe ya siz yako
awino me nataka twende downtown now, eh

(hook)
halleluyah awino halleluyah
haina noma ata kama sina mulla
you are so hot awino me ndio cooler
nikichora napenzi yetu wewe ndio ruler

halleluyah awino halleluyah
haina noma ata kama sina mulla
you are so hot awino me ndio cooler
nikichora napenzi yetu wewe ndio ruler

so nikubebe kikapu ukienda soko eh
tumake love mpaka morocco eh
nami niko ready nipige photo
ninakupenda sana mtoto

so nikubebe kikapu ukienda soko eh
tumake love mpaka morocco eh
nami niko ready nipige photo eh
ninakupenda sana mtoto

(chorus)
awino me nataka twende downtown now
nikuoneshe venye sisi tunarun town now
awino me nataka tu nambako
na kama huna basi nipe ya siz yako
awino me nataka twende downtown now

(verse 1 )
ukipita mtaani unafanya mafisi wanavunja shingo
awino mwili wako unametameta ka tausi maringo
nifanye single collabo mienendo zako niziweke kwa wimbo
awino ah
ah aah awino ah
ah aayeh

so nikubebe kikapu ukienda soko eh
tumake love mpaka morocco
nami niko ready nipige photo eh
ninakupenda sana mtoto

so nikubebe kikapu ukienda soko eh
tumake love mpaka morocco
nami niko ready nipige photo eh
ninakupenda sana mtoto

(verse 2)
kila walati nikiona unaongea na mwanaume naskia tu vibaya
mr. me ndio kijana unadeserve me sipendangi vituko na drama
can’t you see am feeling and falling on you baibe
please take me to you father
oh ninakupenda mama ningekuwa na doh
saa hii ungekuwa unaimba hallelu
halleluya

awino me nataka twende downtown now
nikuoneshe venye sisi tunarun town now
awino me nataka tu nambako
na kama huna basi nipe ya siz yako
awino me nataka twende downtown now

awino me nataka twende downtown now ,eh
nikuoneshe venye sisi tunarun town now, eh
awino me nataka tu nambako
na kama huna basi nipe ya siz yako
awino me nataka twende downtown now, eh

(hook)
halleluyah awino halleluyah
haina noma ata kama sina mulla
you are so hot awino me ndio cooler
nikichora napenzi yetu wewe ndio ruler

halleluyah awino halleluyah
haina noma ata kama sina mulla
you are so hot awino me ndio cooler
nikichora napenzi yetu wewe ndio ruler

so nikubebe kikapu ukienda soko eh
tumake love mpaka morocco eh
nami niko ready nipige photo
ninakupenda sana mtoto

so nikubebe kikapu ukienda soko eh
tumake love mpaka morocco eh
nami niko ready nipige photo
ninakupenda sana mtoto

(outro)
eh eeeh
t–zeh
oyugis only
it’s a feeling
grosspool music

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...