lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bugia - tallie lyrics

Loading...

penye moshi lazima kindukulu
penye kuku lazima wepukulu
nimesunda ganji kwa katululu
leo sina ndai nimekuja na kisululu
so tutado what?

so tuta ride boda
luku safi nimepaka poda
leo natoka loko nataka kuvuka boda
east twende west tukutane na ma oga

kwa wanaija wa ma naira
niko na doh me huzibank kama trya
tallie top shetta si me ndio mama kaila
ikifika wekendi si uwaka ka kakawaida

waiter leta waiter leta
mbogi iko kwa njia bytheway ongeza meza
tunaiweka tuna serereka
leo ni kuwatesa na vako za dictator aayy

tunabugia bugia
leo tuna bugia bugia
si tunabugia bugia
na isipo shika tunarudia rudia
k*mewaka sana wapi backo ya maji
leo nikushikisha jaba na washikaji
pale katikati ati ndio kuna party
mpaka boy w*ngu gidi si ako maji maji

kesi baadae leo tuchoma rada
tunachoma mpaka tutatuftwe na nacada
leo maboy w*ngu wanachotwa na mamatha
madem wenyu washachukuliwa na mafala

me nakula hepi natupa hasara juu
sahau shida zako na uanze kuzitoka
life tu ni moja kukufa ni number 2
so before iishe,we anzanga kuziorder

waiter leta waiter leta
mbogi iko kwa njia btw ongeza meza
tunaiweka tuna serereka
leo ni kuwatesa na vako za dictator aaayy

tunabugia bugia
leo tuna bugia bugia
si tunabugia bugia
na isipo shika tunarudia rudia

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...