lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mwambie yesu - tahilla em lyrics

intro
[beats]

chorus
mwambie yesu
yesu
mwambie yesu
yeye atakuk*mbuka
mwambie yesu
yesu
mwambie yesu
yeye atakutendea

verse 1
huyu yesu sikio lake liwazi
kimbia kwake yeye atakupokea
shetani asikudanganye
eti yesu amechelewa
kimbia kwake yeye anakuelewa
matatizo yote huyu yesu
hakuna jambo linalo mashinda
wewe kimbia kwake
kimbia kwake
maana kwake
kuna msaada teeele
chorus
mwambie yesu
[oh mwambie yesu]
yesu
[mw*ngalie yesu]
mwambie yesu
[halleluyah]
yeye atakuk*mbuka
[atakuk*mbuka]
mwambie yesu
[wewe wewe]
yesu
mwambie yesu
yeye atakutendea

verse 2
wanaomtegemea
haiwezi wahaibisha
mtazame yesu wewe
mtazame yesu
amelaaniwa awekaye
imani kwa binadamu
mtazame yesu wewe
mtazame yesu
ipo baraka kwa kungojea
kuna ushindi kwakusubiri
wewe usijali mtazame tu jehova maana
yeye atakushindia

chorus
[wewe]
mwambie yesu
[mwambie yesu]
yesu
[oohooh!]
mwambie yesu
yeye atakukuk*mbuka
[usimw*ngalie mwanadamu]
mwambie yesu
[yesu pekeyake]
yesu
mwambie yesu
[yesu]
yeye atakutendea

bridge
anaweza mambo yote
[ni kweli kweli]
anaweza mambo yote
anaweza mambo yooote
[ni kweli kweli]
anaweeeza mambo yote
[ni kweli kweli]
anaweeeza mambo yote

outro
mwambie eeh eeh [rafiki ni ye] mwambie
[usiogope] mwambie eeh
yeye atakutendea
[oh ndoa yako iko na shida]
mwambie eeh eeh mwambie [mwambie bwana]
mwambie we [usiogope]
mwambie eeh
yeye atakutendea
[unahitaji karo ya shuleni]
mwambie eeh eeh [rafiki ni ye] mwambie
[atakuskiza] mwambie eeh
yeye atakutendea
[umemwamini kwa kugoja mtoto]
mwambie eeh eeh mwambie
[wewe mama kimbia kwake]
mwambie eeh
yeye atakutendea
[hata mume na bibi wataka]
mwambie eeh eeh [rafiki ni ye] mwambie
mwambie eeh
yeye atakutendea
[usimw*ngalie mwanadamu]
mwambie eeh eeh [hana uwezo]
mwambie eeh
yeye atakutendea

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...