jina ni tahfia - tahfia lyrics
[hook]
jina ni tahfia (jina ni tahfia)
jina ni tahfia (jina ni tahfia)
jina ni tahfia (jina ni tahfia)
jina ni tahfia
[verse 1]
eey, leo nmerauka time fiti
na biz imejipa hio wiki
ndoto imeniamsha ilwa kuchizi
na sk*mbuki iliwa ya nini (heey)
aah leo nmerauka time fiti
nina time ya kuroll bhingi
ata naeza washa mbili
aah na jana nlibakisha tindi (what)
aah leo nmerauka time sure (bana)
acha nifike kwa mama pasua
aah na kunanyesha jua
hallo babe, leo ni wapi tunatua (eey)
aah leo nmerauka time freshi (bana)
aah ii ni ile wikendi (jooo)
acha nichapie brejin
nikachukue maheadi (whaat)
aaah
[hook]
jina ni tahfia (jina ni tahfia)
jina ni tahfia (jina ni tahfia)
jina ni tahfia (jina ni tahfia)
jina ni tahfia
[bridge]
it’s a good feeling
get down, get down, when you hear this (naskia tsiare, naskia tsiare)
it’s a good feeling
get down, get down, get down (naskia tsiare, naskia tsiare)
it’s a good feeling (naskia tsiare, naskia tsiare)
gеt down, get down, when you hear this (еy, ey, ey)
it’s a good feeling
get down, get down, get down, get down
[verse 2]
sku izi si kama jana
jina imetamba sana
wasee wananitaja sana
juu jina imetamba bana(whaat)
tahf anapanda ladder (bana)
time ya kulala hana
time ya mahaba hana (bana)
but tahf apana wawa (ey)
hizi yard ni kama janga (bana)
shida zmetubana bana (joo)
daila nasaka manna
rat race toka raba (siaka)
bonga nibonge, bonda nibonde
bora zisonge, order nipone
na kaa autaweza, mbona nikonde
(eeeey, whaat)
[hook]
jina ni tahfia (jina ni tahfia)
jina ni tahfia (jina ni tahfia)
jina ni tahfia (jina ni tahfia)
jina ni tahfia
[bridge]
it’s a good feeling
get down, get down, when you hear this (naskia tsiare, naskia tsiare)
it’s a good feeling
get down, get down, get down (naskia tsiare, naskia tsiare)
it’s a good feeling (naskia tsiare, naskia tsiare)
get down, get down, when you hear this (ey, ey, ey)
it’s a good feeling
get down, get down, get down, get down
[verse 3]
nasababisha
life ni fupi so naharakisha
niwai izi mkwanja napandisha
bar na siskizi wenye wanachachisha (wanachachisha)
nasababisha
life ni fupi so naharakisha
niwai izi mkwanja napandisha
bar na siskizi wenye wanachachisha (wanachachisha)
[outro]
i am a champion
everyday, ey ey ey
jina ni tahfia!
Random Song Lyrics :
- fisso e tachente - herman medrano lyrics
- steady - m.u.n. zay lyrics
- danger (hazard pt. 2) - junesfall lyrics
- critical mass - paranorm lyrics
- 屋根裏 (yaneura) - 吉澤嘉代子 (kayoko yoshizawa) lyrics
- dal buio - dugno lyrics
- chęci - toczek lyrics
- sun dethroned - moonshade lyrics
- trailer park fantasy - lick 57 lyrics
- happy in the gutter - rangleklods lyrics