traveller - t sigwa lyrics
verse 1
mtoto ni yule anaefundishwa kusema
nashukuru tumekuwa sasa now tunawa tekenya
wanacheka!nakutuonyesha tabasam
chuki usimamisha mipango kama traffic kwenye jam
kikombe cha udongo, mwanadamu ni udongo
tukidondoka tunakufa the same wote shwaaa!
mitumba kidogo, perfume kidogo. kingereza kwa mbali unaeza act ni wakishua
maisha mazuri pesa ndio watu wana wish yeeh yeeh
hii kitu pesa kwa shetani si ni watumishi yeeh yeeh
usitamani kuwa na mnyama ambaye ata chakula aumlishi
komaa na mkeo maana wazuri awaishi
nanaah nanaah!
chorus 1
onanah nanah nanah nanaah nanaah nanaah
me i’am traveller
onanah nanah nanah nanaah nanaah nanaah
me i’am traveller
verse 2
we jushughuliashe uone pesa ina come
kuishi na watu kazi aswa kwa binadamu
ukijiamini watasema umeikosa nidhamu
ili u win ushi nao kitaalamu
tuliwazika ni wazuri ambao wengi tuliwachukia
tulibisha wakatuambia,tofari moja ina thamani ya bia
chagua kujenga au bar,kutumia
msiba ukutamisha watu mpka usiotarajia
hii dunia ni duara na ina mungu mmoja
matatizo yanapokuja uwezi kuyaambia ngoja
furaha sio kulewa na rafiki mmoja
na wasichana ni chapati kamwe uwezi kula moja
chorus 2
onanah nanah nanah nanaah nanaah nanaah
me i’am traveller
onanah nanah nanah nanaah nanaah nanaah
me i’am traveller
Random Song Lyrics :
- cuando no quedes tú - bambú (mc) lyrics
- new king, dark prophet - abraham (che) lyrics
- ahavti meod - אהבתי מאוד - bo labar - בוא לבר lyrics
- happy thoughts - home & coffin lyrics
- culmine - iskra lyrics
- kehäkuvitelma - pyhimys & timo pieni huijaus lyrics
- first everything - the bomb digz lyrics
- fantasía - tazmaniak lyrics
- amores, aventuras e paixões - solange almeida lyrics
- ritshifunana - bomo lyrics