lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

zeze - t.i.d. "mnyama" lyrics

Loading...

(instrumentals)

[chorus: t.i.d.]
kama wanipenda
kaninunulie zeze
nikilala kitandani
zeze lanibembeleza
kama wanipenda
kaninunulie zeze
nikilala kitandani
zeze lanibembeleza

[verse 1: t.i.d.]
mateso moyoni
(mateso moyoni)
usiku silali
usiku silali
hadithi sitaki
(hadithi sitaki)
nataka zeze
(nataka zeze)
penzi lako la thamani
(penzi lako la thamani)
tanashati, jamani
(tanashati, jamani)
usiku silali
(usiku silali)
nakupenda zeze…
(nakupenda zeze…)
[chorus: t.i.d.]
kama wanipenda
(wanipenda)
kaninunulie zeze
nikilala kitandani
(mmm)
zeze lanibembeleza
kama wanipenda
(no, no, no)
kaninunulie zeze
nikilala kitandani
(sema nao)
zeze lanibembeleza
(oh, yeah, oh yeah)

[verse 2]
majungu sitaki
majungu sitaki
zeze langu silipati
zeze langu silipati
mapepe sipendi
mapepe sipendi
mapepe sipendi
mapepe sipendi
penzi lako burudani
penzi lako burudani
tuwapo kitandani
tuwapo kitandani
zeze langu, maanani
zeze langu, maanani
zeze langu, maanani…
zeze langu, maanani…
[chorus: t.i.d.]
kama wanipenda
(wanipenda)
kaninunulie zeze
(oh, no)
nikilala kitandani
(mmm)
zeze lanibembeleza
(ooh, yeah)
kama wanipenda
(no, no, no)
kaninunulie zeze
(oh, yeah)
nikilala kitandani
(sema nao)
zeze lanibembeleza
(oh, yeah, oh yeah)

[bridge: t.i.d. & jay mo]
sitaki, silipati
(sitaki)
sipendi
(oh, yeah)
sipendi
(nasema tena, sipendi)
burudani
(burudani)
kitandani
(oh, yeah)
(maanani)
maanani, maanani…
uh, uh, uh
[verse 3: jay mo]
mpenzi zeze vipi?
sema basi, ‘unanikataa
mpenzi zeze, ‘sema basi, kabla haijawa balaa
usiniletee mapozi, ‘njoo kwa mwana sanaa
punguza gozigozi, ‘machizi watakushangaa
kama unanipenda, ‘njoo uniimbie [larabahi]
njoo upige zeze, tucheze, tubaki tuwe high
w*nga, ‘wakisema nadhani usiku watalala
zeze anapigiwa mjanja, zeze hapigiwi fala
kama unanipenda, ‘kaninunulie sio hatari
kama uko tayari, twende home kujivinjari
jay mo na t.i.d.,’ndani ya sauti ya dhahabu
ni soo, ongeza bidii, wewe kw*ngu ndio jibu
jay mo!

[chorus: t.i.d.]
kama wanipenda
(wanipenda)
kaninunulie zeze
(oh, no)
nikilala kitandani
(mmm)
zeze lanibembeleza
(ooh, yeah)
kama wanipenda
(no, no, no)
kaninunulie zeze
(oh, yeah)
nikilala kitandani
(sema nao)
zeze lanibembeleza
(oh, yeah, oh yeah)

[chorus repeat: t.i.d.]
kama wanipenda
(wanipenda)
kaninunulie zeze
(oh, no)
nikilala kitandani
(mmm)
zeze lanibembeleza
(ooh, yeah)
kama wanipenda
(no, no, no)
kaninunulie zeze
(oh, yeah)
nikilala kitandani
(sema nao)
zeze lanibembeleza
(oh, yeah, oh yeah)

(instrumentals)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...