swash concious - swalleh geffor lyrics
swalleh, geffor
swalleh geffor, coins 2 notes, yeah yeah
number 0ne kwa microphone checker
hata shida ziwe mingi bado nitacheka,aaaah
wanadhani me wananiweza
na wakiniona ni maneno wanameza
naona una wivu mob basi we ongeza
fungua macho uone mahali unaenda
hata mkuje 50 emcees tubattle kwa arena
mikono juu mtabaki mmesurrenderrrrrrrr
ni swalleh anawahemesha
hata ecko dydda anajua bado niko formmmmm
kama uniform ya form one
sitakam kugive up kwa life man
nimeona vitu mingi kwa life man
juu dream yangu bado, dream yangu iko
paperchasing mpaka siku nita rip
juu najua kwa hii mziki me ni vip
undercover kwa kitanda kama cid
me natisha hawa marapper kama hiv
destiny, destiny haijulikani, saa itabidi tumevunje mifupa wakati meno ziko
opportunity comes once
saa imetubidi tuchukue zote juu za kesho pia hazijulikani
situation ya msoto nayo imekuja
ati nisicomplain nitosheke na ile kiasi niko nayo
itakuaje na mnacomplain nyinyi kunihusu
ndio wale akina judas wanakuja kunibusu
ati huskizangi local music
siezi toa za nudes alafu tena nipigwe maruf-ku
hivo ndo life iko, unfair
ndio utajua kuna tofauti ya soda na supu
leo ni leo msema kesho ni sugu
juu bado nabreathe aaahsante kwa mungu
unanimangia wife alafu unaniita me ndugu
hauana bidii na unasema maisha ni ngumu
hakuna nuru ndo maana kuna nduru gizani
hawa marapper nawapima na mizani ya wenyeji
juu hao ni kuku ya grade na mimi ya kienyeji
me nina siz ndo maana unaniita shemeji
education is the key to success, yangu ililost saa ikabidi nimebreak in
i reminisce enzi za e-lascah
maswali kibao,ati, ‘e-lascah ilienda wapi,ama mliacha mziki ndo mfanye kazi?”
me nina links, kutoka kitale, mpaka nairobi
mziki biashara, kw-ngu si hobby
zile dirty lyrics saa hii ziko kwa dhobi
nimeingia kwa industry bila kubisha hodi
nadaiwa na kila mtu utadhani maland lordy
juu nina sick lyrics zilaze kwa wodi
huwezi nipita hata over my dead body
me nachachisa utadhani konkodi
juu nakuaga very sharp kushinda sword za shin0bi…..
swalleh geffor…………..
Random Song Lyrics :
- cranberry kiss - kamggarn lyrics
- elise - kaylin hill lyrics
- svart ravin - himiltungl lyrics
- okay - zate & rewind-beats lyrics
- ride around (solo demo) - ayesha erotica lyrics
- same vision - yung woods lyrics
- intro (slts2) - per vers lyrics
- warning - tobías b lyrics
- rumours - ura star & fireball kid lyrics
- rock and roll butler - the upper crust lyrics