lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kishosho - suicy gang lyrics

Loading...

intro :
yoo yoo
yoo chikichoo
cheki hii si odi

hook mayscars

toto tam tam aseh inama ..kishosho
una bigi bam bam uki inama..kishosho
kizee dhahabu onyesha maana ..kishosho
duba waba waba leo nazama na.. kishosho
unatesanga tesanga ukipereka..kishosho
io mtipa unameza ukichezesha..kishosho
na mtambo zidi nyonga ukipepeta..kishosho
geuka shika ukuta mami tingika.. kishosho

si una gethorai ai ai
bonge la behind ai ai
kaa si we mi sidai aki walai
sijui nikuite deni ju mi nakudai

verse 1 lil sp**py
kiseti,kikam,kichain,kindom
kilocal,kinyaru,kiburn,kibrown
leo nko line kaa thong
bebi nakupenda kaa kindom
mi kigongi uliza adi njoki
kukulalia ni tamu kaa ngware kuraukia kinyongi
pepeta iwake nskizie kimoshi
mami kishosho dudu iguze pongi
gwatia,rehee nyita mudia
jang’ania,thaitha,nania,hutia
wooooooiiiii
woii nie dathima
dikanae gwete niudu wakiugo tu itina…

hook mayscars

toto tam tam aseh inama ..kishosho
una bigi bam bam uki inama..kishosho
kizee dhahabu onyesha maana ..kishosho
duba waba waba leo nazama na.. kishosho
unatesanga tesanga ukipereka..kishosho
io mtipa unameza ukichezesha..kishosho
na mtambo zidi nyonga ukipepeta..kishosho
geuka shika ukuta mami tingika.. kishosho

si una gethorai ai ai
bonge la behind ai ai
kaa si we mi sidai aki walai
sijui nikuite deni ju mi nakudai

verse 2 euno wayne

baby si ukam uiseti
baby kam uiseti

unichome kaa pedi
twende ndogogio ii mbogi ile wrong
na murio wamekam na maratish kwa ndoo
kariua na thema ndio amesupply hizi ndom
ni kamiti ketepa shikisha na koo

nikufeast venye unakula hio thong
niki chrome baby kam tuchafue fom
zikinyc ngeus anashikilia wall
akidandia mjulus anaride kaa toy

anadai mjulus aty nimtoe kutu
fom ni kamisi kishosho hapigi looku
fom ya kajing me morio wa njugu
huniita moi juu venye (hunipiga rungu)

hook mayscars

toto tam tam aseh inama ..kishosho
una bigi bam bam uki inama..kishosho
kizee dhahabu onyesha maana ..kishosho
duba waba waba leo nazama na.. kishosho
unatesanga tesanga ukipereka..kishosho
io mtipa unameza ukichezesha..kishosho
na mtambo zidi nyonga ukipepeta..kishosho
geuka shika ukuta mami tingika.. kishosho

si una gethorai ai ai
bonge la behind ai ai
kaa si we mi sidai aki walai
sijui nikuite deni ju mi nakudai

verse 3 rustic lunatic
mamemimomu
siukam tu lalelilolu
cheki unadai ki coke vifanta joo na passion
nguna si ukiseti mtaa nimetoka kuprrr lips ni fashion
mate nameza joo mrembo si unakiti
nina kipawa so hata naeza uza miti
umekua chief potato unadai ki sauce ndio unyonye tomato
niko hali mahututi yuanga nadai kidonor
nakaa haujui maana jo sikuambii mbona
ukidai kipork uchague aliyenona
nguna unamadare wezare teseree
nguna unawezere mortuary tereree
mmh pepeta inama nidandie kama tatu
socks me hudunga nikipiga kiatu

hook mayscars

toto tam tam aseh inama ..kishosho
una bigi bam bam uki inama..kishosho
kizee dhahabu onyesha maana ..kishosho
duba waba waba leo nazama na.. kishosho
unatesanga tesanga ukipereka..kishosho
io mtipa unameza ukichezesha..kishosho
na mtambo zidi nyonga ukipepeta..kishosho
geuka shika ukuta mami tingika.. kishosho

si una gethorai ai ai
bonge la behind ai ai
kaa si we mi sidai aki walai
sijui nikuite deni ju mi nakudai

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...