nasema nao - sugu (tz) lyrics
[intro]
mi nasema nao
ndani ya bongo
nasema nao
nje ya bongo
nasema nao
mr. 2
[chorus]
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao)
nasema nao
mr. 2, nasema nao
ndani ya bongo (lala, lala, lala)
nasema nao
nje ya bongo
nasema nao
nasema nao
mr. 2, nasema nao (oh, yeah, oh, yeah)
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao)
ndani ya bongo (lala, lala, lala)
nasema nao
nje ya bongo
nasema nao
[verse 1]
nasema nao, nakwenda nao sambamba
kama kawaida nipo ndani ya nyumba
mr. 2′ nakipa kitu kwa watu
kama nilivyo kipa kwenye ndani ya bongo
nikakipa nje ya bongo
kila mwaka mmoja, mi nakuja na album moja nzito
(yeah)
muziki wa ghetto
sauti yangu inafika mpaka soweto
nasema nao
ma emcee wanazozana kivyao
nani zaidi?
yeyote awe zaidi, mi nataka mshiko
napita huku na huko, chini kwa chini
nipo makini na fani
cheki ndani kuna nini
usikae ki*falafala, utalala
na ukilala tu wasela watakula*
wakila utapata hasara moja, mbili, tatu
mavitu ni yale yale
toka kwa mtu yule yule (yulе yule)
nasema nao
[chorus]
nasema nao
mr. 2, nasеma nao (oh, yeah)
nasema nao
mr. 2, nasema nao
ndani ya bongo (lala, lala, lala)
nasema nao
nje ya bongo
nasema nao
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao)
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao)
ndani ya bongo (lala, lala, lala)
nasema nao
nje ya bongo
nasema nao
(oh, yeah)
[verse 2]
nasema nao
nakwenda nao kijela, jela
kila demu nikimgusa *n*leta mambo ya hela (hela)
wakati mentali nataka hela
[dua] kubwa kuliko zote
kwa wasela wa jela
maisha ni vile nnavyoishi
siku zinavyozidi, nami n*z*di kuwa mbishi
shughuli ni watu, ‘na watu wenyewe ndio sisi, wewe na mimi
nani anasema na mimi?
mi nimkate kilimi
kila wakati nipo studio
kila siku sauti yangu kwenye radio fm
mademu wanaonifahamu, wanionapo wanatabasamu
choko, kama kichaa mi nina kichaa cha doggy
napiga zigizaga, tikitaka
mpaka unajiona takataka
mr. 2′ ni fyatu au labda mapepe mengi
bangi’ niliacha toka siku nyingi
madingi wanashangaa wakiniona na mashangingi
kama unaleta chokochoko, mi naleta misukosuko na sekeseke na [sokomoko], msela
nasema nao
master j, sema nao
[chorus]
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao)
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao)
ndani ya bongo (lala, lala, lala)
nasema nao
nje ya bongo
nasema nao
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao)
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao, yeah)
ndani ya bongo (lala, lala, lala)
nasema nao
nje ya bongo
nasema nao
(oh, yeah)
[verse 3]
nakutana na emcee mmoja
ma emcee wawili, ma emcee watatu
na bado tu, mr. 2′ nasema nao
kwenye rap bado nipo nipo, nipo [?]
kuna time nataka demu
na kuna time sitaki demu
nipo bize na business
namna gani vipi?
yupi *n*leta zipi, ni mnanii kwenye nanino
mpaka 2000 mi natoa mfano
watu wanasema mi ni emcee namber one
nami n*z*di kuwasha moto, kwenye fani, kama zamani
choko nenda kokote, wakati wowote (oh, yeah)
sema chochote kwa yeyote
mentali sijali nnachojali mi ni dili
na dili ni dili
bora ikubali, ikikataa, ‘sio zali
hata ukinitazama mtoto wa mama
hauna cha kusema, kama mimi nimesimama
na nasema nao
[chorus]
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao)
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao)
ndani ya bongo (lala, lala, lala)
nasema nao
nje ya bongo
nasema nao
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao)
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao, yeah)
ndani ya bongo (lala, lala, lala)
nasema nao
nje ya bongo
nasema nao
[chorus repeat]
nasema nao
mr. 2, nasema nao (oh, yeah)
nasema nao
mr. 2, nasema nao (oh, yeah, yeah)
ndani ya bongo (lala, lala, lala)
nasema nao
nje ya bongo
nasema nao
(oh, yeah)
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao)
nasema nao
mr. 2, nasema nao (nasema nao)
ndani ya bongo
nasema nao
nje ya bongo
nasema nao
[outro]
oh, yeah, yeah
alright
alright
nasema nao, nasema nao, nasema nao
mr. 2, mr.2 yeah
nasema nao, nasema nao, nasema nao
yeah, yeah
Random Song Lyrics :
- humdinger - langkamer lyrics
- ну что? (and what?) - rolso & jefe lyrics
- ne fayda - sagopa kajmer & velet lyrics
- better love me now - felix snow & tysm lyrics
- песнь пустыни (song of the desert) - radio tapok lyrics
- eternity - ilyjin lyrics
- chew - ambedo lyrics
- aspirin - 無力p (muryokup) lyrics
- take off (dodge & fuski remix) - apashe lyrics
- flesh canoe (planet claire session) - animal collective lyrics