first love remix - sugu jay lyrics
menya media once again, eh yoo big b-ss, twende
this the remix
[hook]
(r flo)
sitaki kuona umeondoka, nitazidi kukupenda wewe daima milele
(channy queen)
sipendi kubadilika, elewa nafsi yangu tu imekuchaguwa wewe
(r flo)
baby my first love
my first love
baby my first love
(channy queen)
you are my first love
my first love
baby my first love
[verset 1]
(sugu jay)
mi na we forever
wazamani wote it over
usipate uwoga mi ni kama nimerogwa
mapenzi matamu zaidi ya adamu na eva
bustani hii sintokula tunda lilokatazwa never
we ni mzuri zaidi ya wote
mrembo kuliko wote mwenye sifa zote
kama olympic basi wakupe tunzo zote
oh ceupe nyoosha kidole nikvishe pete
wanataka nikuache nikutupe wapate wapite
wakuite kicheche mapepe
no no no no we ni w-ngu wa siku zote
baby baby tutakwenda popote
we ni mzuri mwenye penzi la kweli
siyo kama wale wapanga dume katafiri
wapangiwa masaa wapishane kama gari
we unanijali njo tuchangiye safari
tusitupane kati ya bahari
[hook]
[verset 2]
(t max)
mamama mama t (x2)
tumepanda milima na bonde usikonde
nikikosa basi nakuomba chonde chonde
mi, ni binadamu natena sijakamilika
sio kila kosa ulinionalo, unakunjanika
farijika, uko nami simba wa nyika
kwako nimetiya kambi, kwa mwengine siendi
subutu naona dhambi
raha zinanitosha mpaka natokwa kitambi
unanipenda nakupenda ilo linajulikana
cause, isifike siku mama ukaja ukahana
aya maneno nayo sema mama ndio yananipa burudani
unanipa ujasiri kwa mwengine sitamani
we ndio my first lady, my first love
sikiliza remix, ya wajanja sio wachovu, ah
[hook]
[verset 2]
(sugu jay)
kwanza, unajuwa malezi , unajuwa mapenzi
we mtoto, uliwahi fanyiwa kitchen party
nani somu wako nimupe zawadi
we ni mzuri wa sura na tabiya
anaye kuifazi ana mali ya kujivuniya
mi nina bahati nimempata mpenzi ambaye siyo msaliti
mamy you are the first mwengine simtaki
ah i love so much
naona wivu ata kaka yako akikutouch
kama hindi natamani nikuimbiye ata nachi
kaona pyara hei, kuchikuchi nei
mwenye kulinda mpenzi kama mari mar
baby baby unajuwa mapenzi
baby baby uajuwa malezi
baby baby we sio chizi
apo ndo tayari nimeshafika
ata waseme mi sintokuacha
nina asali vipi nilambe shubiri
nitakuweya shuka mu baridi
ndoto nzuri zitazo kufariji
mamy, honey, sweet, mpenzi, chérie
sijui nikuite nani, girl
[hook] (x2)
bonge la collabo
sugu jay tishio, r flo, channy queen, max
big b-ss once again
glm, master usa
u know what people do
first baby, first queen remix
Random Song Lyrics :
- la cadillac - grupo los de la o lyrics
- rungokno aku - vita alvia lyrics
- inferno 2ssanthos 00:01 a.m. - 2ssanthos lyrics
- your heart is evil - kai september lyrics
- plush - divine lyrics
- top boy - yung nobre lyrics
- frutella - sly sheen lyrics
- inaudible - mb hollow lyrics
- lampião’s flow - r.a.p. ferreira lyrics
- лов ли (lovely) - vibetgk lyrics