sana - suagga d lyrics
(intro)
maisha yangu
qeen lynah
it’s beni boys
masomo yangu
beni made
maisha yangu oh oh oh oh
l’homme au masque de fer
kama niku tchiké wetu chiké sana
ju siku uta vidé uta fêter sana
kama niku bosser wetu bosser sana
ju siku italipa uta tchiller sana
niache angu miye, niache angu
niache angu
niache nilewe, niache angu
niache angu
niache nikunywe, niache angu
niache angu
niache nibomoke, niache angu
(verse 1)
miye nili tchiké tchiké tchiké tchiké
nili tchiké sana
miye nili bosser bosser bosser
nili bosser sana
nili tchiké sana nikasoma mathématique, mathématique
nili bloquer sana oua oua
nishamaliza aa depuis kala aa
ndaeza lewa aa kuzangu money
ndaeza lewa, kula madawa
ndaeza lewa , kula madawa
(verse 2) (suagga d)
muniache miye muniache miye
muniache nilewe
muniache miye muniache miye
miniache ni vute
nilikosa sana leo nimepata muniache miye
nilikosa sana leo nimepata muniache nivute eeee
(chorus)
kama niku tchiké wetu chiké sana
ju siku uta vidé uta fêter sana
kama niku bosser wetu bosser sana
ju siku italipa uta tchiller sana
niache angu miye, niache angu
niache angu
niache nilewe, niache angu
niache angu
niache nikunye, niache angu
niache angu
niache nibomoke, niache angu
(verse 3)
nakama nikusoma tume soma sana
tume soma makazi hatuna
tuta lewa sana
mpaka kesho tuta tchiller sana
(verse 4)
muliye ita umbwa leo amekata kamba
ule ule muliye cheka leo ame fanyikiwa
soma diii
utapata dola, utapata dola
soma diii
utapata dola, utapata dola
utapata money money
nautafanya party
utapata money money
nautafanya party
ni maisha yangu miye na mungu w*ngu
ukiniona napanda nakunya nalewa niku zangu miyeeee
uliza baba yangu na mama yangu
ukitaka kuni cheki miye niko na diplôme yangu
utapata dola, utapata dola
utapata money money
nautafanya party
utapata money money
nautafanya party
(chorus)
kama niku tchiké wetu chiké sana
ju siku uta vidé uta fêter sana
kama niku bosser wetu bosser sana
ju siku italipa uta tchiller sana
niache angu miye, niache angu
niache angu
niache nilewe, niache angu
niache angu
niache nikunye, niache angu
niache angu
niache nibomoke, niache angu
Random Song Lyrics :
- tighter - cosha & coby sey lyrics
- w zwolnionym tempie - frank (pl) lyrics
- nxt 2 u - 3racha lyrics
- captor of sin [violent brains] - slayer lyrics
- good advice - fell from the tree lyrics
- si alguien pregunta - dafne castañeda lyrics
- not at all - baby e the prince lyrics
- breaking point - fell from the tree lyrics
- late - stk lyrics
- high queen - aaron kaye lyrics