vuvuzela [diss track] - stone fabb lyrics
[intro]
(chuckles) mellamo stone, asta la vista baby
[hook]
wana vuvuzela… eeeeh
marapper wana vuvuzela
wana vuvuzela
marapper wana vuvuzela
kwenye beat, kwenye mic
wana vuvuzela
marapper wana vuvuzela
kwenye club, kwenye show
wana vuvuzela
[verse1]
daily mic inanipa cheque
nawa-pita[petr]
kwenye game kama čech
adi wanatii wanatii eti
nawalenga ka manatii
nawa-bash hata bila party
mna tiptoe na mi sipati
mni tip na doo ndo niparty
leta hint eti mn-gg-r ametoa tint
na hayuko so lit, chew some mint
because you spit sh-t………… sh-t
my swag is bomber
fashion gucci no mtumba
mnaniskiza kama rhumba
nimewaroga bila dumba
an ee simba ee dala yawa
abwogee ka nyawawa.. yawa
amanyo mana pesa… yawa
wee bayo wach ka ja siasa.. yawa
to iyuak na pile pile ni an resa.. yawa
kare ang’oma timi, asebedo ka apimi x2
omera abro dini, omera
kare ang’oma timi, asebedo ka apimi
kare ang’oma timi, abroo dini
[hook]
wana vuvuzela… eeeeh
marapper wana vuvuzela
wana vuvuzela
marapper wana vuvuzela
kwenye beat, kwenye mic
wana vuvuzela
marapper wana vuvuzela
kwenye club, kwenye show
wana vuvuzela
[verse2]
mistari zako fupi kama zakayo
team na hakuwahi fika rio
first you gat to study my bio
am kingborn na crown like panthera leo
na leo ni leo
ukijidai nakupasha mistari ka taifa leo
i gat no hopes for you
hata ujiite kangaroo
kwa rap currency
nawaitisha ushuru
coz am the rap guru
abe your ghost writer
nikiswitch faces ka buru buru
nko juu yenu bila juju
acha kudai uko na ma dollar
kwanza lipa bill
i spit moto ka h-ll
kuwake ka avril
mkue church-ill
call mcee tricky
on the heat ka nicky
stone on top in the wiki
na kila wiki
muziki huunipa riziki
take it slow kama zikki
ukiwa kwa faraja…
jua siko kwenye dhiki
… kuna game leo kuja mka vuvu vuvuzela..
[hook]
wana vuvuzela… eeeeh
marapper wana vuvuzela
wana vuvuzela
marapper wana vuvuzela
kwenye beat, kwenye mic
wana vuvuzela
marapper wana vuvuzela
kwenye club, kwenye show
wana vuvuzela
Random Song Lyrics :
- freestyle lol - ynw bslime lyrics
- latest drip - 23 unofficial lyrics
- if you had my love (cyber jungle remix) - jennifer lopez lyrics
- summer clothes - orlando weeks lyrics
- tulungen atiku - happy asmara lyrics
- locked & loaded - spaceboyblue lyrics
- petrolio - ntò lyrics
- when it's done as evidence it's a shirt again. - fucking werewolf asso lyrics
- limonada rosada - antoniomabs lyrics
- backseat thoughts - alex bond lyrics