freshi barida - stevo simple boy lyrics
[interview: mungai eve & stevo simple boy]
stevo uko aje?
mi niko freshi barida
mmh hmm
eeeh, niko freshi barida
freshi barida ni nini?
aaah hiyo unajua ni lugha ya kiusanii
[intro]
au sio
stevo simple boy
ndo maanake, okay
marvo on the beat
[chorus]
wakenya mko aje?
freshi barida
vichuna magongingo?
freshi barida
nataka kienyeji ako freshi barida
ambia ex w*ngu niko freshi barida
niko freshi barida (okay)
freshi barida
niko freshi barida (okay)
freshi barida
[verse 1]
stevo nawaambia don’t drink and drive
kwa nyumba don’t beat, usichapechape wife
love ni polepole, ukiforce uta*die
ngoma ikibamba nipatie high five
leo ni kutulia hakuna mambo na mzinga
mabinti wananitaka, ah ah mimi ninaringa
usilete hasira ju bei ishapanda
stevo simple boy, niko frеshi barida
[bridge]
katika katika, ka imekubamba
katika katika, ka imekubamba
katika katika, ka imekubamba
katika katika, ka imеkubamba
[chorus]
wakenya mko aje?
freshi barida
vichuna magongingo?
freshi barida
nataka kienyeji ako freshi barida
ambia ex w*ngu niko freshi barida
wakenya mko aje?
freshi barida
vichuna magongingo?
freshi barida
nataka kienyeji ako freshi barida
ambia ex w*ngu niko freshi barida
[verse 2]
hakuna mihadarati tunalewa na chapati
pigia beshte zako uulize party ni saa ngapi
naskia mnaita ex w*ngu ki****
na nikipata pesa nitam*buy*ia gari
bibi ya wenyewe usimfinyie macho
kuwa mwaminifu usipende mpango wa kando
ju kikulacho ki nguoni mwako
penda ule wako ako freshi barida
[bridge]
katika katika, ka imekubamba
katika katika, ka imekubamba
katika katika, ka imekubamba
katika katika, ka imekubamba
[chorus]
wakenya mko aje?
freshi barida
vichuna magongingo?
freshi barida
nataka kienyeji ako freshi barida
ambia ex w*ngu niko freshi barida
wakenya mko aje?
freshi barida
vichuna magongingo?
freshi barida
nataka kienyeji ako freshi barida
ambia ex w*ngu niko freshi barida
niko freshi barida (okay)
freshi barida
niko freshi barida (okay)
freshi barida
[outro]
marvo nikuulize?
uko kwa ndoa ama uko freshi barida?
mavo on the beat
Random Song Lyrics :
- мошпит (moshpit) - sit boom lyrics
- malo po malo (live) - selma bajrami lyrics
- vivement l'hiver - félix (céo) lyrics
- silent nite - miles the martian lyrics
- crack era - cease gunz & dj yodha lyrics
- bang - джиган (geegun) lyrics
- el alquimista - ekyrian lyrics
- you can't steal my shine - selwyn birchwood lyrics
- incredible - money boy lyrics
- so fantastic - mostly amazing lyrics