lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nifuate - stan lyrics

Loading...

[intro]
oooouuh
yeyeeeh
oooouuuuuuu uu
baby nifuate

chorus:
nifuate baby
nifuate
nifuate oooooouuuuuu

verse 1
nakupenda hadi siwezi kueleza
nataka kukuonyesha
na utamu wa pendo lako
yanimaliza
mtu mzima kama mimi naomba

[wawesh mjanja]
ah kama ardhi navyotamani
maji
jangwani
roho yaniuma (ooooh uuu)
tamaa inaniua

chorus:
nifuate
mahali hatujulikani
nifuate
mahali kule mbali
nifuate
mahali hatupatikani
nifuate
nifuate nikufuate

verse 2
naaatafuta penzi lako busu lako lanitia wazimu
naaaatamani uwe w-ngu
twende kw-ngu
juu hapa k-mejaa na watu

[wawesh mjanja]
ah kama ardhi navyotamani
maji
jangwani
roho yaniuma (ooooh uuu)
tamaa inaniua

chorus:
nifuate
mahali hatujulikani
nifuate
mahali kule mbali
nifuate mahali hatupatikani
nifuate
nifuate
nikufuate

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...