suluhu freestyle - ssaru lyrics
[intro]
ssaru, ssaru, ssaru, ssaru, ssaru
eish vinc
ssaru, ssaru, ssaru
big shout out to vinc on the beat by the way
[verse 1]
ah, kuna fununu fununu kadhaa zimenifikia
ndio naskia ati kuna vitu flani tunagombania
mmeniita nimeitikia juu papa ashawatishia
na huyo mama nawaambia mwacheni nitawajibia
mpeni tissue akilia, muongeze sidiria
maana kama ananyonyesha potimi ashapapitia
tuko na historia alafu we ni dadangu pia
na mi ukweli nitakuambia siogopi ukinichukia
hii si kiki, kweli ngoma zako hufika border na hazipiti
mlinyang’anywa title, leta hio kiti
tunabishana vipi, leta ndume sitaki binti
nenda kajipodoe we ni yapa na huskiki
ako wapi msodoki na mistari anaeza copy
mwambie akuje na dollar maana zenu sio noti
yuko wapi young lunya anazeeka na anastunya
kama ananonoe chooni mwacheni amalize kunya
ah, kama si khali basi nani ka si mimi
hapa aliwauliza swali mnashindwa mtajibu nini
sasa si ndio hatuogopangi, hatujifichi kwa kichaka
oh you can learn a thing si kwenu mko na darassa
mlipewa samia, mkakosa suluhu
so tumewakalia, watoto wa uhuru
naeza wapa idea, muifikishe kwa ikulu
but kwanza nawashuku, nyi hulipa ushuru?
[bridge]
ssaru, ssaru, ssaru, ssaru, ssaru
eish vinc
ssaru, ssaru, ssaru
the beat k!ller
[verse 2]
ah, taka usitake si ndio tuko in charge
ndio maana mara kwa mara tunakeep in touch
alafu usijali if you guys lost touch
kwеnye game mmepotеa and i did research
sijui ni kuzembea au tumewalemea
na sitaki nionekane na kama mi nawaonea
naskiza diss zenu alafu n*z*compare
nashindwa ni msanii mgani wa huku kwetu nitawapea
kaveve kazoze, huyo ni fire
compared to hizo ngoma zenu nyi huimba za kwaya
wakadinali ndio watu mna*require
kubishana na wasanii wakongwe wame*retire
yuko wapi rapcha, attention na*capture
mziki safari ni kama gari ilipata puncture
fid q nowhere to be seen in the queue
tuko na kiu sisi kama mafans na tuko few
bill nass ashapoteza nafas’
anatupa mbao juu ya kitu imekulishwa nanas, ah
hio ugonjwa tunatibu very fast
and i can promise you that am a better night nurse, ah
bongo lala kama kawa huku mmejaza tu machawa
mwambieni levo baba tukutane mkahawa
vutieni kontawa ju kuna dose nagawa
ka ye ndio champion basi haikai sawa
[outro]
ssaru, ssaru, ssaru, ssaru, ssaru
eish vinc
ssaru, ssaru, ssaru
big shout out to vinc on the beat by the way
Random Song Lyrics :
- margen izquierda - ossian & nachodowntempo lyrics
- toa koristamise lauluke - väike pede lyrics
- clarity - kidz bop kids lyrics
- not perfect - mandaryna lyrics
- facebook friendulitus - shelf of knick knacks lyrics
- 我依然是你的情人 (i'm still your lover) - coco lee lyrics
- the other side - raphael drew boltman lyrics
- hitchcock - naked passion lyrics
- bumbum - gang music lyrics
- backflashes - bblasian lyrics