dose - ssaru lyrics
[chorus]
dose dose ssaru ameleta ka dose
on toes, stand up on toes
am grown, maturity on top
am dope, applause, applause
[verse 1]
nimekuja na ingine inatisha
na this time nimekuja kutesa
wananingoja kwa dirisha
ju wanajua mlango sitabisha
nimekuja kuwakilisha
wale wasanii hawajaskika
cheki venye nababaisha industry, najua nimefika
nimekuja na mbogi ya ghetto
mkiona hivi mnajua si safe jo
na ju sijakuja kunego
nimekuja biz nitawacha ka record, nimekuja na punchlines
ni mistari mature si ya kitoto, nimekuja ku attack
nimekuja kutake over ngoma za local
nimekuja na fujo, nimekuja na pressure, joh nina mioto
na ju mi ni deng’a na mi ndo kusema, jo nimeleta joto
utapata kahoma ju ya hio tеnsion, leo mtapoteza vocals
na ngori vinoma ju ya vile ninaspit
jo mtawacha utoto mtawacha unoko
it’s high timе twende international
utawacha upoko, ju haidai mrembo
inakufanya mtato tu, utabaki msoto
utabaki umebeat unatoa kaharufu
ushaua ndoto you homeless, and no where to go
[chorus]
dose dose ssaru ameleta ka dose
on toes, stand up on toes
am grown, maturity on top
am dope, applause applause
dose dose ssaru ameleta ka dose
dose dose ssaru ameleta ka dose
dose dose ssaru ameleta ka dose
dose dose ssaru ameleta ka dose
[verse 2]
huku ni k*moto, huko k*mechill huku ni k*moto
huko ni kushoto, sa twende kulia huko kwa wanoko
tupige maphoto tupost waseme tumeanza show off
tupite kwa soko, tufanye kawindow shopee kichokoch
maisha inabamba, inataka ujanja, inataka ukae rada
utapata mascandal, hebu jihandle, utakufa kwa kamba
itabidi umehustle, utoe jasho, uwache kwenda kwa mganga
chorea hizo vako, juu haidai, mola amepanga
naskia mnanitaka juu mmnenihata, me ndio yenu dose
naleta mikasa nawapa dawa, nyingi overdose
na harufu safi, marashi kali, inachofya nose
so smell my sh*t and swallow your beef
’cause i’m your f*ckin boss
na stick on your lane
na get you some lens ndio unizoom vifiti
walai comment and share post zangu pale ig
ju mi ni mtoto totole na nimeweza na siringi
ni ssaru moto otea mbali si deal na mashilingi
[chorus]
dose dose, ssaru ameleta ka dose
on toes, stand up on toes
am grown maturity on top
am dope, applause applause
Random Song Lyrics :
- purple heart - jasmine crowe lyrics
- phoenix - richter lyrics
- graduation - ku kony lyrics
- shake it - ka8adi lyrics
- you - adrian daniel lyrics
- not fooling anyone - gotthard lyrics
- ohne dich - ellex lyrics
- an'lo yachol - אנ'לא יכול - rami fortis - רמי פורטיס lyrics
- is it a necessary condition, - le conteur lyrics
- atp - unordinaryizz lyrics