lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

tiktoker - soundkraft lyrics

Loading...

ati black chocolate, ni fine melanin
bana kutoka nikapate
kanapenda kenye mi huwa napenda
so kanapenda toto chupa na haga nono
(like a boss)

tenda wema pewa tako
kw*ngu ni clean so buda f*gia kwako
nikuje ndogo juu utakula kushoto
usitake kuonana na my dirty version
nilijam nikasample mali yako
manzi yako na mpango wako wa kando
tunapinganga triosome tunakusengenya
ni mr. last guy manzi yako ashanipenda

mtoto wa nyumbani toto la home
kenyan gurl kanapenda ganji she ain’t a ho
bad btch kwa hi party vibe iko top
kwenye floor jo kanaperform jo kanaperform

pic poc kanapenda kuzitoka
tiktok kanakuanga tiktoker
pic poc kanapenda stick proper
big bomb vile ako na big bomper
pic poc kanapenda kuzitoka
tiktok kanakuanga tiktoker
pic poc kanapenda stick proper
big bomb vile ako na big bomper
hapendi vijana wa roysambu
hapendi kupelekwa hizo klabu
mi nataka jo atrend akule vitu best
alafu nikafanye maajabu
huyu msupa ni mpole hana mambo
halafu hapo nyuma mauano
ye hukuanga amevai, mavitu ni vulai
cv nime apply chali yake namtoka

mtoto wa nyumbani toto la home
kenyan gurl kanapenda ganji she ain’t a ho
bad btch kwa hi party vibe iko top
kwenye floor jo kanaperform jo kanaperform

pic poc kanapenda kuzitoka
tiktok kanakuanga tiktoker
pic poc kanapenda stick proper
big bomb vile ako na big bomper
pic poc kanapenda kuzitoka
tiktok kanakuanga tiktoker
pic poc kanapenda stick proper
big bomb vile ako na big bomper

tulideliver nairobi ikakubali kunipea dem peng
nimekuwa badboy kutoka enzi za f2
kenye nataka ni mic jo na madem tu
hi ni hype iko na version ya dansu
dem amejibeba bompa na ako na tattoo
sheen ako awaer acha leo nitaje fatum
mgenge tru ameangukia mwarabu
mtoto wa nyumbani toto la home
kenyan gurl kanapenda ganji she ain’t a ho
bad btch kwa hi party vibe iko top
kwenye floor jo kanaperform jo kanaperform

pic poc kanapenda kuzitoka
tiktok kanakuanga tiktoker
pic poc kanapenda stick proper
big bomb vile ako na big bomper
pic poc kanapenda kuzitoka
tiktok kanakuanga tiktoker
pic poc kanapenda stick proper
big bomb vile ako na big bomper

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...