lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

fly in (freestyle) - so-lo (tz) lyrics

Loading...

intro : (dax sise)
eyo.. “yeah”
hii ni kwa machizi wote wanaoleta uduwanzi au sio, “you know what am sayin”
tupo rock city cipher to safari
solo, au sio, ”kay mapacha”
usilete usnitch, “yes”
ukibisha unakaa watu wan-z-ngua vibaya, au sio
yeah kelly, g records you know what am sayin
dax.. “it’s mo fire”

intro : (so-lo)
g records n-gga
hahaaa, yah kelly biiiizzy ya’ll
hamna jipyaaaa “hamna jipya”
ah, whoa, solo solo solo aaah

verse : (so-lo)

mr solo wa dar sio moro
wananiita mr chicks ama pastor solo
cuz mi na preach peace mi ni master solo
kipi ntachotaka mi n-ggaz watafollow, hey

kila siku mi namwomba mola
hata kama nikipata ama ikiwa hola
na wewe ndo bora rapper mi ni rapper bora
ndomana vocal zangu mi ni kali ka king’ola

ldt crew hommie kwa ma’ n-ggaz
magnetic music, whats’up ma n-gga
kama kawa, masela wananijua kama dawa
ukizingua n-z-ngua huli hata ka umenawa

nak-mbuka enzi zile tunalia njaa
huku ndoto zangu zote zinaniita star
star iliyong’aa tangu mama alivyonizaa
siwezi kosa sio makosa kukosa chapaa, so

niite valentino gold digger
ukizingua nakushoot finger kwa trigger, n-gga
kama unaleta beef za kifala hapa hautalala na ukilala ndo unalala mazima, bro

njoo home unisome nnavyoishi
mr. bk style zangu sina fashion
sina woga nasaka dollar na silali niwe juu nasaka pesa niwe rich
shika pesa utawashika hata mab-tch
mi nashika pesa kwa kushika mic na kuchana

kama hutaki kuniona utanisikia
hata kama unanichukia utanisikia
wapo walianza kunipenda baada ya kunisikia
nakubalika kwa vijana watoto wazee pia

na siwezi baki chini, no. naenda kwa kanuni
nakaza mwanzo mwisho hutaki weka kapuni

ni king wa mitaa,hakuna anaekataa
haters wanashangaa na ma’snitchez wameduwaa

baraka ni soo, wale machoko
ldt chapa viboko, international mpaka local
relax music, bakora kwa bishoo
bako wapige pin madini ni vocal
hili beat la wizzy lipo hot so kelly bizzy ni time yako
naitwa so-lo

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...