diyem - smarta official lyrics
yeba! yeba! yeba! yeba
bado umelala unatumia mosquito net
si tunatumia internet
diyem! diyem! yeba! yeba! diyem
umenifollow kila mahali, hata nikipost we ndo wa kwanza kucheki
nikipost usiogope text, fika diyem, text
ukidai magoods
diyem
ukitaka wasupa
diyem
ukidai kuomoka
diyem
ai! cheki yow una*diyem
diyem! diyem! diyem
ah! cheki bro una*diyem
diyem! diyem! diyem
ai! siste, diyem
skia, niko na flow kushinda hawa maniga
kanaflow unaeza dhani nairobi river
mih huwaga nimejipin madiva, wasupa mabinti wameiva
unashinda umeni*stalk, story zangu zote manze una*watch
unashinda una*like nikipost, na hadi nikipost we bado una*repost
ai! mih ni mkuu hapo gram si u*search (hmhm!)
influencer number one mih huwa*catch (walahi!)
nikufloss tukidrip nikipatch
mih huwa nimejipin nikiroga nawa*touch ah
pengting kula picha (zii!)
naeza kufollow uko insta (eeh!) ai
kuja tutrend uko twitter
usiniombe namba, juu
ukidai connection
diyem
ukidai mawolan
diyem
ukidai mashashola
diyem
ai! usiogope
diyem
diyem! diyem! diyem
ah! cheki bro una*diyem
diyem! diyem! diyem
anha! siste, diyem
ukidai tu ma*goods iwe tenje ama bm
ukitaka hata drinks nina zote hadi gm
mih ndo plug verified usi*stress fika dm
hao wengine ni ma*scammer ka huamini si tubet
zao ni makefi shomilimbi na hazinyiti
ramba tada gwan ukidiyem the plug
wanasell tu magrass nikisell many grams
nikiplug mih maforeign wanaplug jo ma*boring
ukidai magoods
diyem
ukitaka wasupa
diyem
ukidai kuomoka
diyem
ai! cheki yow una*diyem
diyem! diyem! diyem
ah! cheki bro una*diyem
diyem! diyem! diyem
ai! siste, diyem
juu anakaa fiti itabidi nimeslide, (yessir)
hata sik*mbuki i’m a man with a wife
nimeruka tu diyem kujibonga ki*shazam
hata ye amecheki man’s looking good so haezi grey
nikuwachambua tinder ka hajaiva, (next)
na si huyu anakaa mali naeza dm tuconnect
ngoja si huyu ni linda ule dem wa mayengs
tulipatanaga twitter but sikuhizi ni x
ukidai magoods
diyem
ukitaka wasupa
diyem
ukidai kuomoka
diyem
ai! cheki yow una*diyem
diyem! diyem! diyem
ah! cheki bro una*diyem
diyem! diyem! diyem
ai! siste, diyem
yeba! yeba! yeba! yeba
ukidai magoods, diyem
ukidai mawolangalang, diyem
ukidai ma*vest, invest
yeba! yeba! oh! oh! shuka ama tukate
pa! pa
yeba! yeba! fom na ni mangiba ngiba, yeba
Random Song Lyrics :
- to skomplikowane - gracux lyrics
- money - young breezy mellow lyrics
- f.i.f.a - lil pokédexxx lyrics
- 5 gieta na łeb - tomi (pl) lyrics
- the hunter - áron andrás lyrics
- mauvais côté - kyana lyrics
- drank - redda lyrics
- run up a bag - sectionsmokes lyrics
- 3 (three) - inshe lyrics
- truth - teri desario lyrics