my mainchick story - slimsuma lyrics
verse
sio kwamba sina wa kuwapost all day, sio kwamba sina wa kuwacheck all day, sio kwamba sina wakunitext all day, kuniuliza if am good ar am feelin’ anyway
sio amba sina wakunicheck twwnde movie, ambao nikifulia wananitoa hadi michuzi, sio kwamba sina zile namba za ma*ex, ambao ni simu mmoja they can pull up on my face
tatizo unajiona special sana kisa wengi wanakutaka wanakuona we mwepesi, sio kwamba kisa nakupenda sana unalaumu wanakutaka wakichuna unawatext
kwamba we upo busy ama nini?, sa nipange we na ex wako mnachartigi nini?, unajikuta smart ama nini?, maumivu kupokezana leo vimba kesho mimi
design maji ndio yapo shingoni, nipo makini ila maajabu hata sioni, ona naibiwa nipo rindoni, mapenzi yananipiga maajabu hata sikomi
you don’t even show that you need me, you don’t even show that you’re with me, i don’t even know if need me, i don’t even feel when you kiss me
Random Song Lyrics :
- what i am - flight school lyrics
- her şeyin bir zamanı var - karaçalı lyrics
- 夕陽マリー - yuuhi marie (team k) - akb48 lyrics
- last summer - frostyofficial lyrics
- glam for your life - stysio lyrics
- the wasteland - isolation (de) lyrics
- time of my life - kerry ellis lyrics
- kiss me - kiss-o-matic lyrics
- muharrir meridyen kaypak geoit - ethnique punch lyrics
- họ yêu ai mất rồi - doãn hiếu; b. lyrics