go down - skykim lyrics
[intro]
awe, awe
goooo down (baby you go)
baby you gooo down (baby you go)
nishakupenda coooome down
[verse 1]
penda ku’moyo, tatizo mchoyo
dunia haina tomorrow, mtoto shororo
ni wa moto na sio kiporo
ana ngozi nyororo
anasiki kwa jero, wala kwa tero
kitandani ni chali kwa dolo
mahipsi ana bonge la ng’ombe na wowo
hizo lips usiombe akanyonya hiyo jojo
sio mnunaji anapenda kucheka lakini
anapenda ulenge 90
anapenda kudeka nami
namdekeza nikitema madini
anapenda misifa, haonagi masoo
nami namwita, huku
nikiwika jogoo
uwanjani nikipa, nafunga magoal
anatembea akilinga, kwa mwendo wa jongoo
na… ananichezesha chezesha mi
ananidekeza dekeza mi
anajilegeza akiwa nami
nami nachombeza ielewe jamii
naomba kwa mora, nisipate hasara kwa we
nasaka ma dollar, nisilale na njaa nawe
kitalia king’ora, ni ndoa nifunge nawe
nishakoki bastora, hakuna mwingine ni mimi nawe
hey…! boy mimi najiweza
achakukaza legeza
penzi cha kwanza ni pesa
najua my baby unapenda kutesa
nishatupia na wewe pendeza
(pendeza)
you talk about my sh-t sh-t
namdatisha mpaka anasizi
she loves me cuz she see it
shimo uchafu toa kwa jiti
ligi la ndiz
hey…! she-she-she love me
she-she-she touch me
she-she-she date with me
she-she-she need me
she-she-she kiss me
she-she-she suck me
(she-she-she suck it…)
[hook]
goooo go down (baby you go)
goooo go down (baby you go)
baby you go down (aweee)
baby you go down (awe)
baby you go down (aweee)
baby you go down (awe)
[verse 2]
hey…!
nothing to say
masifa ni kem’kem
ila bado uongeii
i’m on the way
na sina ma dame dame
na sito delay
hey…!
hakuna mwingine ni mimi na wewe tumuombe sir god maisha marefu mazuri tupewe
fanya mazuri fulani nilewe nichizike kabisa nipagawe nipate na nguvu ya kusaka uwele upendeze ukasuke za kwako hizo nywere
(hizo nywere…)
sikuachi usiku na kokoriko
nakula matandu na ukoko ulipo
nakulinda kama cops na people
nipe vyote nisahau punyeto
nimenakiri (kiri)
ukitaka nilipe na bill (bill)
usibadili (dili)
style ziwe zote usisahau ile 1 na 2 (mbili)
mama nitilie usisahau na pili pili
nipe nipe usiwe bahili ah!
ooozaaah
vya moto pooozaaaah
ushachokoza
nikipiga sisahau kukoza
mzuka ukipanda wewe ruka tereza
kimasai ile rrrraaah
ana nichezesha chezesha mi
ana nidekeza dekeza mi
ana jilegeza akiwa nami
nami nachombeza ielewe jamii
ngiyakuthanda we dada wee
kea ho rata we mama wee
nakupenda we manzi wee
ahh! i love you my baby weeeh
[hook]
goooo go down (baby you go)
goooo go down (baby you go)
baby you go down (aweee)
baby you go down (awe)
baby you go down (aweee)
baby you go down (awe)
Random Song Lyrics :
- time & space - my only escape lyrics
- because i love you 3000 - godlyone lyrics
- bedshaped (live from mexico city, 1 april 2024) - keane lyrics
- the ballad of mannequin love - your divine eyes lyrics
- secret weakness - daymor lyrics
- re'idat adama - רעידת אדמה - avraham lagasa - אברהם לגסה lyrics
- голоса (voices) - керосинvвенах (kerosinvvenah) lyrics
- hold my peace - kaden jordan lyrics
- casino - mc emse lyrics
- fate - hydrallj lyrics