songa - size 8 lyrics
dj mo
nipe miaka ashu, nitakuwa bazuu
rada chafu, umenikwachu
when i saw you, i felt you
kila wakati, kila nyakati, utakuwa mbavu
size 8
unaniongeza maringo, unaniongeza maringo
unaniongeza maringo, unaniongeza maringo
lakini kijana unajua, ninani unapigia
hii si namba ya mathare, kijana unapigia
chorus
yesu w*ngu tumekuona kwa mapigo eee
yesu w*ngu tumekuona kwa mapigo eee
bado tunasonga, songa, songa
penzi linanogoga, noga, noga
bado tunasonga, songa, songa
penzi linanogoga, noga, noga
bado tunasonga, songa, songa
penzi linanoga, noga, noga
bado tunasonga, songa, songa
penzi linanoga, noga, noga
dj mo
god bless you, umenipa photocopy
my number one girl, wajua sikuchochi
asante kwa maombi na machozi
liwe liwalo mimi sikutoki
sazingine nakupeanga mapressure
lakini bado unanisho unanitreasure
yaani god umenipea mpaka pastor
kw*ngu mapepo zinajua ni disaster
size 8
nani kama yesu, kama yesu
nani kama yesu, kama yesu
yesu w*ngu tumekuona, kwa mapigo eee
yesu w*ngu tumekuona, kwa mapigo eee
chorus
bado tunasonga, songa, songa
penzi linanogoga, noga, noga
bado tunasonga, songa, songa
penzi linanogoga, noga, noga
bado tunasonga, songa, songa
penzi linanogoga, noga, noga
size 8
ni ukweli tumeona, mkono wa bwana
ni ukweli tumeona, mkono wa bwana
ni ukweli tumeona, mkono wa bwana
ni ukweli tumeona, mkono wa bwana
chorus
yesu w*ngu tumekuona kwa mapigo eee
yesu w*ngu tumekuona kwa mapigo eee
bado tunasonga, songa, songa
penzi linanogoga, noga, noga
bado tunasonga, songa, songa
penzi linanogoga, noga, noga
bado tunasonga, songa, songa
penzi linanogoga, noga, noga
Random Song Lyrics :
- nyevenner - artigeardit lyrics
- lacrime di cielo - erminio sinni lyrics
- you can have the tv - barry manilow lyrics
- wish list - darius t whit lyrics
- crystallized featuring neonomora - rock n roll mafia lyrics
- ghostface killers (freestyle) - u-god lyrics
- let em hate - joel bryant lyrics
- vado via - roh lyrics
- give um what they want - k-rino lyrics
- not broken - teana boston lyrics