lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mateke - size 8 lyrics

Loading...

mateke, mateke, mateke
yesu amempa shetani mateke
sababu ya mateke, mimi niko huru

x2

mateke, mateke, mateke
sababu ya mateke, mimi niko huru x2
wengi walinitazama wakidhani kuwa mi niko sawa
pesa, magari, na show kila mahali
ukweli ni kuwa sikukuwa na amani
machozi kila mara, huzuni kanijaa
nilisumbuka we, nililia eh
nilisumbuka we, hapo ndipo yesu
yesu amempa shetani mateke
sababu ya mateke, mimi niko huru
yesu amempa shetani mateke
sababu ya mateke, mimi niko huru
huko nyumbani, mashida zakuandama
stima maji, hata bwana alienda
marafiki nao, zao wanakusemasema
hapa kule, wapi utaenda yesu
usilie we, usisumbuke eh
usilie we, sema nami sasa

yesu amempa shetani mateke
sababu ya mateke, mimi niko huru
yesu amempa shetani mateke
sababu ya mateke, mimi niko huru
kwa sababu ya mateke zake yesu
shetani naye, yeye ameshindwa
kwa sababu ya mateke zake
shida nazo, zote zimekwisha

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...