nyumbani - shama lyrics
Loading...
i want to go where the sun is shining
where the people are nice and the food is sweet
mahali nipo ni baridi sana
nataka kurudi nyumbani
nitarudi
nyumbani, nyumbani
narudi
nyumbani mama
nitarudi
nyumbani, nyumbani
narudi
nyumbani mama
wajua vijana lazima tutatembea
nakuona dunia eh
lakini mwisho tukishachoka
tutarudi mwanzo eh
nitarudi
nyumbani, nyumbani
narudi
nyumbani mama
nitarudi
nyumbani, nyumbani
narudi
nyumbani mama
nitarudi
nairobi kenya eh
nitarudi
mombasa diani
nitarudi
na kule kinshasa
nitarudi
nitarudi nyumbani
Random Song Lyrics :
- lựa chọn mẫu rèm cửa roman xếp lớp hiện đại nhất - rèm cửa sky - rèm cửa sky lyrics
- all for nothing - lip candy lyrics
- solo / alone - rondodasosa lyrics
- stronger than me - 藤井風 (fujii kaze) lyrics
- ears bunny - maddie ross lyrics
- dotknij - karian lyrics
- lös probleme - negatiiv og lyrics
- climax - stanley luxx lyrics
- vœux - sonbest lyrics
- sinking (with u) - rjldiablo lyrics