sherehe ya disemba - shad mziki lyrics
[verse 1]
kama unaenda
pete na vitenge zote beba
utavaa na mtu wako mtatesa
ni sawa umepata someone better
nitaziweka
picha za sherehe ya disemba
vile tulikata bila chaser
hadi ukasema unanipenda
ulinicheza
[chorus]
nibusu tena
kabla hujaenda
kama disemba
na unik*mbatie
usiniwachilie
usiniwachilie
nibusu tena
kabla hujaenda
kama disemba
na unik*mbatie
usiniwachilie
nitakuk*mbuka
nitakuk*mbuka
nitakuk*mbuka
nitakuk*mbuka
[verse 2]
mi sitafuti better than you
nataka mmoja better for me
enda utolewe matching tattoo
nusu ya roho haina meaning
ambia mathe mi niko fiti
asinitafute
situation ni tricky
itabidi ajue
uniweke polepole
roho yangu niokote
kabla umati ikanyage
[chorus]
nibusu tena
kabla hujaenda
kama disemba
na unik*mbatie
usiniwachilie
nibusu tena
kabla hujaenda
kama disemba
na unik*mbatie
usiniwachilie
usiniwachilie
nitakuk*mbuka
nitakuk*mbuka
nitakuk*mbuka
nitakuk*mbuka
[outro]
kama unaenda
pete na vitenge zote beba
utavaa na mtu wako mtatesa
ni sawa umepata someone better
nitaziweka
picha za sherehe ya disemba
vile tulikata bila chaser
hadi ukasema unanipenda
Random Song Lyrics :
- note aux nanars - yak lyrics
- dean martin_thats amore - dean martin lyrics
- late in the afternoon - tracey thorn lyrics
- might just - jahkoy lyrics
- 2 of em - the track burnaz lyrics
- forsaken throne - nemrud lyrics
- from none - mat kerekes lyrics
- tiempo al tiempo - gerre lyrics
- sheitan - titi official lyrics
- kein bock auf yolo - toni lyrics