mema - shad mziki lyrics
Loading...
i hope uko salama
mi niko easy
i hope sio gharama
kukujulia hali
unatesa mitandaoni
rocking versace
with all of your friends
and all of your gang
i hope sijakosea timing
nikuambie one thing
nakutakia mema
mema
maisha ya neema
tutaonana tena
nakutakia mema
mema
maisha ya neema
tutaonana tena
yes nimepotea
siku nyingi
i know nilikosea
kukuumiza hivo
and i wish i never ever left
i wish i never ever ghosted you
najua i will never get
mmoja mwenye ako so d*mn true
and i can’t let myself forget
vile ulinipenda
ulinipenda
nakutakia mema
mema
maisha ya neema
tutaonana tena
nakutakia mema
mema
maisha ya neema
tutaonana tena
Random Song Lyrics :
- pra nossa história virar um poema - life style wise lyrics
- toda terra - tamires pragana lyrics
- hino de ibicaré - hinos de cidades lyrics
- meus dois namorados - cleide alves lyrics
- forever in love - crash boom bang lyrics
- praia de copacabana - hinos lyrics
- a seita - patrick horla lyrics
- crime - pamela lyrics
- some kind of voodoo - by aim lyrics
- nsn - marko damian lyrics