nike - sewersydaa mkadinali lyrics
123
20+
nike
sewersydaa mkadinali
lyrics
about
tracklist
comments
1
236
2
view old song page
edit lyrics
edit metadata
admin
lyrics for this song have yet to be released. please check back once the song has been released
embed
about
this song bio is unreviewed
g*nius annotation
1 contributor
sewersydaa is a trap/drill artist based in nairobi. the song was released in july 2023
lyrics:
ukikam kutupanga tutakuonyesha nani ako na panga ×6
beshte yangu aligo too soon lakini ni fity hakufayariwa birusss (pa pa paa)
alipewa 25 new life juu ya drug abuse na ni wada walisue
watu saba ndani ya subaru chama ni moja kama enzi ya kanu
madam nipigе busu na ka judas umetumwa na shape ya dahoud
hii malaya inataka kunipanda ni ka nimegеuka himalayas (rada)
b*tch nyamaza unabonga sana mbele ya wababaz (rada)
unakaa poa lakini ka maua usijaribu kuchangia faba
independent gyal hauna haya juu ya madawa ameniacha single father
mp amejenga barabara nusu hio ndo level ya utu nisikuitie wuzuu
kam correct ukiuza sera uku tumejam tusikuingize rungu
plus f*ck
k*mbe ni we ndo unaspreadingi vurugu ×2
chorus (ukikam kutupanga tutakuonyesha nani ako na panga×6)
big up mataji wote wako bez big up wasee w*ngu wa senke
na belong to sina chama leo nimekam kama independent
dent kwa mshahara blanda laumu tu the real rong rende
spray izo mamende always usif*ck na kina mathenge
ka ni beef kaende kaende full of b*lls niko na big makende
ka ni biz niko kanenge vijana wa coast wamejinit mashete
system iko wasted brethren utazeekea kwa game ka kalembe
mayout wako wasted d*mn it kanisa skuizi wako juu ya matembe
retired ka kadenge kwa game ball niliachia mamaa ndo asitete
nyi mafala mlikuja adi home mkatuachia machwani tusitete
ni mara ngapi tumewasho huku mtaani si hatutaki mamwere×2
chorus
Random Song Lyrics :
- burning stars - måns zelmerlöw lyrics
- the bronx freestyle - marlon craft lyrics
- bloed, zweet en tranen - ek versie - rene froger lyrics
- in the lab (nello studio) - massima tackenza lyrics
- blame it on me - striking matches lyrics
- bloody murder - benni hunnit lyrics
- kolorowy ksiaze x fison - w calej polsce - kolorowyksiąże lyrics
- tiptoein' - mac powell and the family reunion lyrics
- ain't nothing but a house party - bonus track - seal lyrics
- check em out (youtube cypher) - scooby the gambler lyrics