tuone - scott montana lyrics
intro
nanananananahh
nanananananahh
nananananahh
nananananananahh
verse 1
najiuliza kwanini
moyoni nakosa amani
ama nimeumbiwa
duniani na laana
inanishinda mechi
nimeivua jezi
sina wa kunienzi maaana
naachia jajah blessing
baraka nisi missy
maana nimelia saaana
bridge
ninakosa riziki
j*po moyo sipurutiki
maisha ni mikiki
kama pesa kupata sishiki
ninakula kwa dhiki
na akina mwotin na akina riziki
tutaumia paka lini
mungu baba tuone na sisi
chorus
tuoneee tuoneee tuoneeee
mungu baba tuone na sisi
tuoneee tuoneee tuoneeee
mungu baba tuone na sisi
verse 2
nipatacho kichache mi bado na gawaaa
aaaahhh
nikwa muda nime noa ila ni sawa
oh
ohh jembe langu jembe
jembe!
sina mazao hata chembe
chembe!
halipalilii hata mwembe
mwembe!
nimekwama kama pembe
pembe!
jembe langu jembe eeeh!
jembe!
sina mazao hata chembe eeeh!
chembe!
halipalilii hata mwembe
mwembe!
nimekwama kama pembe
pembe!
bridge
ninakosa riziki
j*po moyo sipurutiki
maisha ni mikiki
kama pesa kupata sishiki
ninakula kwa dhiki
na akina mwotin na akina riziki
tutaumia paka lini
mungu baba tuone na sisi
chorus
tuoneee tuoneee tuoneeee
mungu baba tuone na sisi
tuoneee tuoneee tuoneeee
mungu baba tuone na sisi
Random Song Lyrics :
- ponteio - astrud gilberto lyrics
- tumba el guille - plan b (pr) lyrics
- shotgun - natasha mosley lyrics
- talvez seja o melhor - emana cheezy lyrics
- scream and shout (hit-boy remix) - will.i.am lyrics
- cartas - sasha sokol lyrics
- i f****d my aunt - the lonely island lyrics
- dynamo - abd al malik lyrics
- don't care about the lust - drako1387 lyrics
- cuando el amor se va - el chaval de la bachata lyrics