my life - scott montana lyrics
intro
(mmmh mmmmhh mh mh!)
ahh!
verse 1
nimejichangachanga kujipa amani
nitatoboa lini kwenye hii safari
mikasa na nyota ya konda
madrama yapoteza muda
mapema asubuhi niko studio
naimba inster nikiskiza mario
siunajua sifatii kiki
ila mambo yatatiki
nikalelewa na baba wa kambo
nikajifunza na life ya gamble
kitaa kikatambua mi kaa rambo
nikazana nikazama kwa pango
ouhh
bridge
wakataka nisipone
waganga wakashika chonde
aahh
hata maji nani kosee
nayo roho wakaichomaa
nakifo na kikaumana
mbona sijafa mwana
na nimepoteza mw*nga!
hakuna njia sambamba
jalali ni commander
meli imetia nanga
mapepo yanashangaa!
natoka bed nikule bata
aaahh
aahh aaaahhh
ah ah ahhhh
aaahhhh
aaaahaa aaaaa ahaa
verse 2
ahh
nanimfollow hemedai kwa twitter
uno mziki hautaki vita
emaccoy kanifunza gitaa
niimbe na axe khaliff kwenye jukwaa
kisha tuelewane kulvert
dart studio tusijekosana
tusitengane kwa mashidaa
natusonge natuache lawama
ahh!
na mawazo mchana kutwa yanisonga
niingie tundu lipi niweze ponaa
nafsi imejawa na uwoga
w*nga wan*z*di kuniloga
bridge
wakataka nisipone
waganga wakashika chonde
aahh
hata maji nani kosee
nayo roho wakaichomaah
nakifo na kikaumana
mbona sijafa mwana
na nimepoteza mw*nga!
hakuna njia sambamba
jalali ni commander
meli imetia nanga
mapepo yanashangaa!
natoka bed nikule bata
Random Song Lyrics :
- the goodbye song (two-player game version) - joe iconis lyrics
- tala - edvin lyrics
- flames (leandro da silva remix) - david guetta & sia lyrics
- vore night - stice lyrics
- one more - bilal abdul samad lyrics
- carry on (demo) - rehab lyrics
- fairytale lullaby - blossom caldarone lyrics
- cannons - little graves lyrics
- witchcraft - sarah vaughan lyrics
- rattlin' roarin' willie - jean redpath lyrics