lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

420247365 - scar mkadinali lyrics

Loading...

[intro: scar mkadinali]
yo, for real for real
mmmmh
yo, scar de, sk!llo where you at?
si unajua kama kawa tunaiwasha 420, 247, 365
yo, for real

[verse 1: scar mkadinali]
iliwashwaga na scar de akapitishia sk!llo
akapitishia sande akapitishia collo
ikashikwa na ma afande wakatuzimia kolo
saii tuko rumande tunapitishiana na ma*local
ikapitishiwa jomo akadoz bana
ikapitishiwa moi akai*hog sana
kibaki alipatanga ka imezima akaiwasha
uhuru zilimuonyesha tu kukopa bana
tuko ma*sh*t flani utadhani si tumelewa
kenya land bei kali na*build castles kwa hewa
247365 mavela
wananisoro ndio wadiscuss life ya omera
mara oh mara oh n*gga whats that?
kuna maharufu inanuka nikitoka
beef ni munchiez naishikanisha na pocha
wakikuuliza waambie si’ tunaiwasha
[hook: sk!llo]
420247365
si tuko 420247365
washa hio kitu, pitisha hio kitu
washa hio kitu, pitisha hio kitu
we si uwashe hio kitu, pitisha hio kitu
washa hio kitu, pitisha pitisha

[verse 2: sk!llo]
i and i roots culture, so high lufthansa
kama unataka kupush hapa usiniuzie gush kaka
ama utajua who’s tougher
sidhani utarecover nipe pure shtundu bana
na upime vile inafaa
chungana na magava, sana sana ma undercover
na wale ma motherf*cker wa ning’i ning’i nang’a nang’a
mi love mi ganja ndo maana huwa sikati sana
my marijuana is a jealous lover
tumetoana far hata after kukatazwa na mùkùrù na gava
bado makoro nawasha, my secret lover
ila penzi ni kikohozi, tukapatikana
na mi’ sik*mkana, sa inajulikana
my omukhana, sensi, yath, nyasore, f*gi
how do you say weed in your language?
marijuana
[hook: sk!llo]
420247365
si tuko 420247365
washa io kitu, pitisha hio kitu
washa io kitu, pitisha hio kitu
washa io kitu, pitisha hio kitu
washa io kitu, pitisha pitisha
marijuana
420247365
si tuko 420247365
washa io kitu, pitisha hio kitu
washa io kitu, pitisha hio kitu
washa io kitu, pitisha hio kitu
washa io kitu, pitisha pitisha
marijuana

[outro]
which way will i take?
which road will bring me back to hope?
my thousand pathways so far from where i wanna be
which way will i take?
which road will bring me back to hope?
my thousand pathways so far from where i wanna be

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...