lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

parapanda - savara mudigi lyrics

Loading...

i’m loving how i’m feeling (badness)
zinanibastia i’m loving how i’m feeling, eeh
i’m loving how i’m feeling
zinanibastia i’m loving how i’m feeling, eeh
i’m loving how i’m feeling
zinanibastia i’m loving how i’m feeling
on to the next
unanicross mi nago on to your ex
wanatulock k*mbe sisi ndo gates
mi si mgonjwa na macho ziko red (ah)
entebbe (parapanda)

they wanna know who me calling on my celly (parapanda)
coz i’m the new age makaveli (parapanda)
mkalimani, mkadinali
savage levelling yani ule mkali yani (parapanda)
eeeeeeh (parapanda)
eeeeeeh (parapanda)
mkalimani, mkadinali
savage levelling yani ule mkali yani (parapanda)

deni ya mine siezi isare
nilishika plate ya difu before imwagike
sema furaha, sema furaha
sema furaha, sema furaha
big up jesus, big up wuzu
big up mungu, big up munga
huh, dara dara, rada rada
(parapanda)
they wanna know who me calling on my celly (parapanda)
coz i’m the new agе makaveli (parapanda)
mkalimani, mkadinali
savage levеlling yani ule mkali yani (parapanda)
eeeeeeh (parapanda)
eeeeeeh (parapanda)
mkalimani, mkadinali
savage levelling yani ule mkali yani (parapanda)

ka huna backup, go bankrupt
rudi ghetto na prado kosa car park
mi ndio cartman wa south park
eeh, naishi na f*ck*ups
saii tenga haina hadi purchasing power
maji ikienda hairudingi na reverse (yeah, yeah)
negotiation mbaya ni ya mwizi ukidai hauna
malaya uki*try kurausha na ameshuka soo utat
na ameshuka matuta nampa tu, si unajua kila mtu amekuja hapa kutafuta
anyway, mezea tembe kinembe
pesa yangu hakuna vile naweza tupa (yeah)
ukisha kunywa make sure hiyo mzinga joh umevunja umevu*vu*vu*vu*vu (yeah)

they wanna know who me calling on my celly (parapanda)
coz i’m the new age makaveli (parapanda)
mkalimani, mkadinali
savage levelling yani ule mkali yani (parapanda)
eeeeeeh (parapanda)
eeeeeeh (parapanda)
mkalimani, mkadinali
savage levelling yani ule mkali yani (parapanda)
uh, you follow, i’m not a follower
wana usoro, ku*try kuchunguza
i have a girl called wambo she’s a swallower
whenever she swallow my kids, take her sarova
safi tibim, haturushi kidi
moshi kwa cabin, mada zigi
bro amepause joh, wacha dibi
hapa ni bidii, hatutaki cv
ikibamba sana toa cd
utabebwa juu juu, urudi chini
kimungu mungu tulienda na ligi
ni parapanda joh, nikiwa mjini

on to the next
unanicross me nago on to your ex
wanatulock k*mbe sisi ndo gates
mi si mgonjwa, na macho ziko red
entebbe

they wanna know who me calling on my celly (parapanda)
coz i’m the new age makaveli (parapanda)
mkalimani, mkadinali
savage levelling yani ule mkali yani (parapanda)
eeeeeeh (parapanda)
eeeeeeh (parapanda)
mkalimani, mkadinali
savage levelling yani ule mkali yani (parapanda)
parapanda
badness

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...