lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

we together - savage bazenga lyrics

Loading...

yaani wat yaani wat

yaani bazeng bazeng

and its all over my head nak*mbuka ile phrase
gonna be together in life na sitaki kukuwaste
how comes ukiondoka nilidhani nitarest
lakini wapi nimetembea kutoka eastern adi west

and a man never give up nimefanya all of the best
nik*medi tu kwa job adi wakaona tu wanichase
kama pesa ndo mapenzi naona nifanye heist
heri kufa nikistrugle kwa kaburi niwe guest

and i remember i have a shawtie anytime i open the dress
dont cry baby girl me am trynma be the best
we were meant be together either destiny ama fate
niko hurry in a journey na ukiniita siwezi late

and i swear nkiwa nawe anytime me sina stress
kwanza sanasana breast nikishuka chini waist
we together adi mwisho polepole hatuna race
will you marry me i swear kw*ngu we ni ungoje yes

me nataka unipe sight kwenye giza unipe light
kama vita nitafight kwa baridi ushike tight
colour black ama ni white honeymoon twende na flight
kwa career unipe psyche kila kitu ufanye right

kutoka mchana adi night bicycle kama unaride
wanasema love ni blind me kipofu naona light
haki ya nani uko kwa mind kila siku ubaki mine
marafiki never mind arguments tuzidecline

kama mirror never lie loyalty zikue high
na usichoke uliza why ukiskia story hazifai
kukucheza sitawai nko na mali inajidai
na hii promise ni walai tutaachana nikidie

we ni bibi bestfriend
and i mean it cool friend
we together maintain
we forever no end

and i dont know cardi b ama we ni priyanka chopra
me nakuona mali safy kukuwatch ni kama soccer
me nataka ushike mkono we together tukiomoka
baby girl wee ni sabrinah me naeza kuwa alan walker

siunajua ungekua vitabu me ningekufungia kwa locker
me ndo biro nikiandika tukitafuta a daughter
na hii ni ukweli na si joke hata kama hii si chocha
we supergirl kwa movie me naeza kupata joker

wanasema p*ssy wet me nataka kunywa water
and will never to be dry kila siku nikioga
any time nikiwa thirsty ni maziwa ni masoda
we ni angel nakulinda kila siku me ni soldier

kila siku ni kuiva na un*z*di kuwa hotter
na kiuno ukizungusha me nadhani kuna motter
kuwa nawe kila siku ni kama nimeshinda lotter
mashallah asante mungu ama kweli ye ni potter

kila siku unipe hi nsimalize unipe five
ukinifunga sana tie me nakuona ukiwa shy
toka jana mpaka sai me nasema tu walai
na manze si utajidai juu very soon nko na ndai

twende india mpaka thai na london tukajidai
na hii nywele naeka dye juu nkikuona nakudai
mummy kwako naeza die maybe kifo inanitry
naeza shinda tu kwa thigh kutoka monday tu july

kama mirror never lie loyalty zikue high
na usichoke uliza why ukiskia story hazifai
kukucheza sitawai nko na mali inajidai
na hii promise ni walai tutaachana nikidie

we ndo bibi bestfriend
and i mean it cool friend
we together maintain
we forever no end

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...