unconditionally bae - sauti sol lyrics
[verse 1: bien-aimé]
we all need love
we all need affection
and the way that you’re looking at me
i can feel a connection
unanibamba baby, kwanza unavyochekecha
kinywaji kwa mkono, na kibeti kwa bega
[verse 2: savara]
juu sikuizi madem wanapenda doh
na machali pia tunazo drama
ya dunia ni mengi sana, no commitiment mama
so nipe nafasi
nikupe mapenzi yangu ya kiluhya
hallelujah
[chorus]
we all need love
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
we all need someone
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
so make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
[verse 3: alikiba]
we all need love
me i need a wife, wa kuishi na yeye
fuata vijana utakufa mapema magonjwa yamejaa
jina langu ali, sasa lazima nilee
nikikosa kula, nawe ndo chakula, nitakonda mazima
and i belie-eeeve, nitakuwa nawewe
mwanzo mpaka mwisho
and i belie-eeeve, baibe
[chorus]
we all need love
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
we all need someone
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
so make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
we all need love
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
we all need someone
nakupenda
tena nina imani sana
ushanitega, ushanitega
so make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
make love to me
unconditionally bae, unconditionally bae
ali
(b-maye)
sauti sol
(b-maye)
east africa
(b-maye)
tanzania kenya
(b-maye)
kigali
(b-maye)
bujumbura
(b-maye)
kampala
(b-maye)
kinsasha
b-maye
b-maye
b-maye
b-maye
b-maye
b-maye
Random Song Lyrics :
- survivors - fred small lyrics
- dark angel - 19akira lyrics
- les choristes - drill sur ton chemin - alpraz lyrics
- graverobber - exitwounds lyrics
- dale - ggerald lyrics
- untitled snippet - lil baby & lil durk lyrics
- take you there - maejor lyrics
- slow you down - nth degree lyrics
- dance all night - j. dash lyrics
- witchcraft - dream map lyrics