lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nipe nikupe - sauti sol lyrics

Loading...

hey, baby, nataka nikupende mama,
vile ninavyokupenda nataka unipende,
ni mapenzi ya nipe nikupe,
darling, nataka nikupende, ie
vile ninavyokupenda nataka unipende,
ni mapenzi ya (nipe nikupex4), x2
(unipe nikupe)x4

hey, baby(my babyx4),
nataka nikupende mama,
(nataka nikupende mama)
vile ninavyokupenda nataka unipende,
ni mapenzi ya nipe nikupe,
(my my) my darling,
nataka nikupende, ie
vile ninavyokupenda nataka unipende,
ni mapenzi ya (nipe nikupex4), x2
(unipe nikupe)x4

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...