tudunde nawe - sauceboiz lyrics
[intro]
it’s emeraldp on the beat baby
[chorus: moofasa]
come twende party tudunde nawe
wakitugusa tu*vurugane
rada ni chafu tu*safishane
dame ka ni haga na*pita na ye
rieng yetu ni ngori kuliko ya we
party after party ku*mash up the place
rieng yetu ni ngori kuliko ya we
party after party ku*mash up the place
sauceboiz turnt up mash up the place
party after party tuna mash up the place
[verse 1: linkyonwaves]
pongi nakulanga dry dry, ukinipa dudu nalia tu bye bye
moshogi ime*beba makwela na*bebwa na vela nabaki tu high high
sina bed nina matty
fika home bila pantie
washa shash iwe party
kuni nyima ubani
uki*mblein kizibo ina go go go, kizibo ina go go go
shada zangu za pedi msokoto (msokoto)
dame yako huniitanga daddy
in the house me nachezea ndani
kichwa tu haitoshi, me naweka mguu usi worry
ku*thigitha hadi ana zimia
saka bundas poko kanja ma*mia
si ume*beba kwani we ni ngamia
ukidai mjuolz ebu kamia
miti tu, anapendaga miti tu
saba tu, ka ni threesome ni saba tu
mbichwa tu, tuna iva ma*mbichwa tu
miti tu, anapendaga miti tu
saba tu, ka ni threesome ni saba tu
mbichwa tu, tuna iva ma*mbichwa tu
(shy)
chorus: moofasa]
come twende party tudunde nawe
wakitugusa tu*vurugane
rada ni chafu tu*safishane
dame ka ni haga na*pita na ye
rieng yetu ni ngori kuliko ya we
party after party ku*mash up the place
rieng yetu ni ngori kuliko ya we
party after party ku*mash up the place
sauceboiz turnt up mash up the place
party after party tuna mash up the place
[verse 2: drippy daive]
donda donda beba, oya
nimefika stage cheki joh corner
ule dame keki joh nam*lola
na natupa ngeli design ya noma
ona
nina mokoro ma*kejani
ananishow davy sasa hizo ni gani
changamsha joh osha hizo ma*sahani
kidogo namtoka kamwiba asali
na niko waba
na*chora
na*tema
na*roga
ma*cookie nakula
ma*ndumba nasunda
zikishika navuka kejani na uber
uber man akidai ganji namtoka
Random Song Lyrics :
- oak cross (ode to dolly) - oakwalker lyrics
- comunión - maverick city music lyrics
- roses - the vaughns lyrics
- the ice demons of ragnarok - ominous glory lyrics
- fresh today - lil mosey lyrics
- around me - ratyawns lyrics
- neon teeth - the lion's daughter lyrics
- story meines lebens - ireen sheer lyrics
- my story - smoove'l lyrics
- designed by the devil, powered by the dead (version 2) - lesbian bed death lyrics