take more - sauceboiz lyrics
(chorus: linkyonwaves)
stacking hizi pesa si ni taabu joh
na niki pata hizi cheddar me hutaka more
kuniita daddy bana kwani huna kazi
usiniite pappi me nataka ganji
stacking hizi pesa si ni taabu joh
na niki pata hizi cheddar me hutaka more
kuniita daddy bana kwani huna kazi
usiniite pappi me nataka ganji
(verse 1: linkyonwaves)
pesa pesa, joh punguza pressure
started at the bottom na saa hii ni kuwatesa
tuki anza rap tulikosa hadi pesa
streets zilikuwa dark joh walitucheka
saa hii tuko litty, saa hii tuko fiti
wana taka autograph and then wakule miti
steady aiming at the top, alll i have is my hope
siku moja tuta pop, joh walai me si stop
(chorus: linkyonwaves)
stacking hizi pesa si ni taabu joh
na niki pata hizi cheddar me hutaka more
kuniita daddy bana kwani huna kazi
usiniite pappi me nataka ganji
stacking hizi pesa si ni taabu joh
na niki pata hizi cheddar me hutaka morе
kuniita daddy bana kwani huna kazi
usiniite pappi me nataka ganji
(versе 2: papizzing)
b*tches call me papi double zing
going hard going deep, my rhymes f*cking silly
kuwapima bila ratili, naweza trip niki cheki genie
nawish zangu one fifty, el gato they call me mbuzi
hiyo sembe ina hitaji mchuzi, senje ana dai joto
si itabidi ame teka kuni, morio alichoma photo
uh*huh utajua hujui, opp wa opp bado adui
fully sauce so sitambui, sauce gang forever unruly gang gang
Random Song Lyrics :
- tomorrow - day forty-one lyrics
- empty souls - lil tyk3s lyrics
- dress rehearsal - keep the eleven lyrics
- lowrider - sinsenfist lyrics
- thug it out - kalan.frfr. lyrics
- not a song - jim white vs. the packway handle band lyrics
- chasing after a star - lil banshee lyrics
- simpin aint easy ( pimpin aint easy remix) - f33t lyrics
- tradition - last days lyrics
- fire in me - s.karma lyrics