lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

si rahisi - sauceboiz lyrics

Loading...

[chorus: linkyonwaves]
si rahisi kupatanga hizi madoh
si rahisi kupanda stage mada mashow
si rahisi kupata dame ana itw*ngwa flo
si rahisi me kudishi manzi vi raw
si rahisi (yeah)
si rahisi (yeah)
si rahisi itabidi ume ng’ang’ana bro
si rahisi nairobi imejaza ma*thot
si rahisi, si rahisi

[verse 1: moofasa]
si rahisi zikishika unipate home (home)
me si fisi lakini naweza kutolea form (form)
na hii baridi si rahisi unitupe zone (zone)
si rahisi hii jiji unipate niki roam
niki saka loan
linky on my phone (on my phone)
ana*dai si rahisi si kukuwa broke
ita bidi umetesa bro (umetesa bro)
piga wera buda saka doh

[chorus: linkyonwaves]
si rahisi kupatanga hizi madoh
si rahisi kupanda stage mada mashow
si rahisi kupata dame ana itw*ngwa flo
si rahisi me kudishi manzi vi raw
si rahisi (yeah)
si rahisi (yeah)
si rahisi itabidi ume ng’ang’ana bro
si rahisi nairobi imejaza ma*thot
si rahisi, si rahisi
[verse2: moofasa & linkyonwaves]
ku*lay madem sio easy sina mullah yoh
kucheza chini sio easy uta*chaf*ka yoh
tuna chaf*ka but hii nai tuna saka doh
gang gang ndio sisi cheza mbali bro
dame yako aki*mess huta mpata home
ame*tingika ako ma tings anadai tu bond

[chorus: linkyonwaves]
si rahisi kupatanga hizi madoh
si rahisi kupanda stage mada mashow
si rahisi kupata dame ana itw*ngwa flo
si rahisi me kudishi manzi vi raw
si rahisi (yeah)
si rahisi (yeah)
si rahisi itabidi ume ng’ang’ana bro

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...