haters and hoes - sauceboiz lyrics
[verse 1: linkyonwaves]
laced my blunt, niko lit niko lit that’s cap
hiyo hate ina fanya una suck
uki tu trace ni mangumi na ma slap
me ni brand hunicheki kwenye map
me ni brand hunicheki kwenye
getting paper gettin doh
flipping haters flippin hoes
naji jenga that’s for show
manzi yako huni penda nilimchapia aka doz
kuwacheza ilibidi nime pause ka remote
na kama hatu vibe, baby please do not force
aaay aaaay
[chorus: linkyonwaves]
lambo na benzo
ama ni track hawk na enzo
i was just chilling kwa bendo
nikaskizia kwa cello
ati ma popo wana tu trace
wako na warrant laki ni fake
walituseti wale ma snake
waka bambika tukiwa chased
tuka wa honga sai tuko safe
tuka wa honga sai tuko safe
[verse 2: papizzing]
usichochwe na love ya maneno
show some love na vitendo
nasaka maweng jooh
ati waki hate mi ni lay low
kujituma mboka ita payoff
cops waliland tuka takeoff
bl**dy f*cking oseketho
mato punchline kau k.o
big brand wanadai iflop
hot beat bangers kuzidrop
beast mode attitude ya brock
middle finger ka we ni opp
hawadai kutucheki on top
red light green light let’s go
cheap hoe atakupea na kioo
bl**dy sauce cheki nike dior
cheki ni, cheki ni, cheki ni sauce
cheki ni, cheki ni, cheki ni sauce
cheki ni, cheki ni, cheki ni sauce
[chorus: linkyonwaves]
lambo na benzo
ama ni track hawk na enzo
i was just chilling kwa bendo
nikaskizia kwa cello
ati ma popo wana tu trace
wako na warrant laki ni fake
walituseti wale ma snake
waka bambika tukiwa chased
tuka wa honga sai tuko safe
tuka wa honga sai tuko safe
[verse 3: toneydontcare]
cheki ni sauce, tonny ndio boss
always a winne, me huwa goat
perfect time ni wakati na medi
main chick wako huwa ameni dedi
f*ck 12 walidhani me pedi
i only do cute girls yaani makeki
beat plug hii mtaa me ndio pedi
Random Song Lyrics :
- santa gimme sanity - su lee lyrics
- finale - once upon a mattress ensemble (1996) lyrics
- solid - jamieboy lyrics
- fiore - i cani lyrics
- to rest (blue light) - brooke bentham lyrics
- rose and bebra - dakarakamakazhaka lyrics
- yêu như chiến tranh - bảo uyên lyrics
- hackln - rammelhof lyrics
- fiction and history - hell and back lyrics
- faces - jericho prince lyrics