lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sitaki tena - saraphina lyrics

Loading...

verse 1
nitachowaambia msiache k*mwambia na yeye ee
simchukii na na najipa mwenyewe oooh noo
mwambieni sijutii kuwa mbali nae apunguze presha aah
mwambieni sililii penzi lake nilisha lihitimisha ooh

hook
hazijabaki memory wala k*mbuk*mbu
nilishamsahau mazima
hata nikimuona namuona kaa nungunungu
sio kama namvunjia heshimaa
makombe amalize ajifushe na nyungu
akakoge na maji ya kisima
ila mimi nilishaapa kwa mwenyezi mungu
haitojirudia daima

chorus
sitaki tena
tena mwambieni asinisumbue mimi
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uu
sitaki tena
abaki na zake nibaki na zaaanguuu
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uuu
verse 2
dua zake mbaya kw*ngu nife lini lipo sasa najua aa
najua likiwaka kiza kikitanda ananiwaza najua
mwambieni asihangaike na mipasho moyo wake mimi naujua aa
sitaki k*mdhalilisha nikataja na siri zake nikamuumbua aah

hook
hazijabaki memory wala k*mbuk*mbu
nilishamsahau mazima
hata nikimuona namuona kaa nungunungu
sio kama namvunjia heshimaa
makombe amalize ajifushe na nyungu
akakoge na maji ya kisima
ila mimi nilishaapa kwa mwenyezi mungu
haitojirudia daima

chorus
sitaki tena
tena mwambieni asinisumbue mimi
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uu
sitaki tena
abaki na zake nibaki na zaaanguuu
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uuu
mwambieni sijutii kuwa mbali nae apunguze presha aaa
mwambieni sililii penzi lake nilisha lihitimisha ooh

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...