jali (feat. nyashinski) - sanaipei tande lyrics
like you care, like you care
like you care (ihaji made it)
rangi ya mdomo kwenye shirt
nina uhakika ile marashi sio yake
bado yuaja kw*ngu kitandani
akitaka tubanane
receipt kila kitu mbili
amejaa maalama kwenye mwili
bado yuaja kw*ngu kitandani
akitaka tubanane
anamlale ana mlala na sio siri
sio habari
anamlale ana mlala wala hafichi
sio habari
niliambiwa akupendaye
atakuchiti hadharani
niliambiwa akupendaye
hatakusitiri hadharani
jaribu kunidanganya kama wanijali eh
kama wanijali
jaribu kunidanganya kama wanijali eh
kama wanijali
jali jali jali mmh
jali jali jali mmh
jali jali jali mmh
jali jali jali mmh
like you care, like you care
like you care
i say like you care, like you care
like you care
hata saa ile sidanganyi unasema mi nadanganya
utaskizaje maskio yako usazibana
macho yako yanaona vitu na hakuna kitu unafanya
hapo ndo tumefika
nakuongelesha nikiona unaona niko guilty
haimatter kitu nitasema, ndani ya roho inaumiza
naskia wivu nikiona wale wanapenda
bila kushughushushana vile inafaa
vile unataka kufanya fanya leo leo
ka napanda cheo cheo nipande ka nashuka
basi nianze kutafuta stage ya maji
jifanye ka una care pia utaniamini
uone vile nakuchangeia mami
jaribu kunidanganya kama wanijali eh
kama wanijali
jaribu kunidanganya kama wanijali eh
kama wanijali
jali jali jali mmh
jali jali jali
jali jali jali mmh
jali jali jali
like you care, like you care
like you care
i say like you care, like you care
like you care
never let you down
never will
sanaipei na shin
got your love, got your love
anamlale ana mlala na sio siri
sio habari
anamlale ana mlala wala hafichi
sio habari
jaribu kunidanganya kama wanijali eh
kama wanijali
jaribu kunidanganya kama wanijali eh
kama wanijali
jali jali jali mmh
jali jali jali
jali jali jali mmh
jali jali
Random Song Lyrics :
- αλλη μια ιστορια (alli mia istoria) - eplkt lyrics
- let's dance - tom browne lyrics
- chaussette - dj weedim lyrics
- seinfeld x soulja boy (ok that's nice) - renard lyrics
- ☆leave me to bleed☆ - bdbslicknick lyrics
- ansiedad - linda guilala lyrics
- still gbg - riga tiger lyrics
- no way - lonebwoy lyrics
- morning in america - ventarian3 lyrics
- radio - dinley jones lyrics