kabibi - sam mangwana lyrics
artist: sam mangwana
mhh
kabibi wani
a haa
eh
kabibi tu
iye kabibi, iye kabibi
mtoto wa nyumbani
iye kabibi, mh kabibi
africa kuna mambo
iye kabibi, iye kabibi
mtoto wa nyumbani
iye kabibi, mh kabibi
africa kuna mambo
mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia
aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu
mwanamke mzuri kama malaika
anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh
tafadhali nieleze kwenu wapi ehh
akasema anatoka afrika mashariki
nyumbani kwao “tanga”
mmhhm, usiniumize kabibi
wewe nakupenda kabibi
mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia
aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu
mwanamke mzuri kama malaika
anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh
tafadhali nieleze kwenu wapi ehh
akasema anatoka afrika mashariki
nyumbani kwao “zanzibar”
usiniumize kabibi
usiniangushe kabibi
anania w*ngu huko tare
hii adhabu niliyopata
kamanga w*ngu manzese * ahh kabibi
mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia
aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu
mwanamke mzuri kama malaika
anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh
tafadhali nieleze kwenu wapi ehh
akasema anatoka afrika mashariki
nyumbani kwao “mombasa”
usiniumize kabibi
nakupenda kabibi
anania w*ngu huko tare
hii adhabu niliyopata
iye kabibi iye kabibi ehh
mtoto wa nyumbani
iye kabibi wewe kabibi ehh
afrika kuna mambo
usiniangushe kabibi ehh
mtoto wa nyumbani
nimekuzoea kabibi
africa kuna mambo
iye kabibi yenuria
mtoto wa nyumbani
we kabibi nakupenda
afrika kuna mambo
ehh mama
africa kuna mambo
mtoto wa nyumbani
ehh mama
africa kuna mambo
iye kabibi iye kabibi
mtoto wa nyumbani
wewe kabibi nakupenda
africa kuna mambo
nimeshakuzoea kabibi
africa kuna mambo
usiniangushe kabibi eh
africa kuna mambo
ooh kabibi
mtoto wa nyumbani
mtoto wa afrika mashariki eh
ehh mama afrika kuna mambo
kabibi
wewe kabibi eh
nakupenda
nakupenda kabibi eh
kabibi
mama musa huko kaloleni eh
tafadhali
huyu nampenda sana miriamu
uzuri kama malaika
nakupenda
mama roza kaloleni
kabibi
nampenda sana huyu mariamu
tafadhali
kasuya w*ngu huko kenya
kabibi
angalia tabu niliyopata kasuya
nakupenda
kabibi
kabibi
mmhhm kabibi
tafadhali
oh yeah kabibi
kabibi
o yee kabibi
Random Song Lyrics :
- o dragão guerreiro - iron master lyrics
- dunya - ezzari lyrics
- samjhana manaima - muna thapa magar & ramji khand lyrics
- highway - xinclair lyrics
- eurodance cheap - future is offline lyrics
- as time goes on - ridley faires lyrics
- tomioka - kit dh lyrics
- untitled02 - zigi.0x feat. thelittledevilonmyshoulder lyrics
- nie było cię (wersja alternatywna) - kaśka sochacka lyrics
- matilah rasa - tara sivach lyrics