delete - sadimu mavoice lyrics
when i wake up
nakuta miss call kama buku
anaomba hela ya make up
na mchana anataka ale kuku
hajui kama na hela
hajali mf*koni niko vipi
ye shida yake ni hela
na kama haombi ten basi kaki
inatuumiza sana aaa
tena inatutesa wahuni
inatuua sana
j*po mnavunga hamuoni
nyie masela mnaotunzwa na madada
hamfanyi kazi kazi yenu kujiremba
kutwa insta midomo kujilamba
acheni tamaaa
chorus
nawa delete delete delete teee
nawa deleete delete delete tee x2
verse 2
washikaji kwenye mishe zao
wanataka tutatue mapema
ila zikija shide zetu utawasikia
oyaaaa baadae takuona
huu mwaka kiroho mbaya sana
kutenda wema ndio nimeshakoma
punguza wema k*mbuk*mbu hawana eeeeeh binadam bwana
saloot kwa madada wanao
jigharamia
saloot kwa washikaji wanaogharamia
saloot kwa wote wasio kataa tamaa
our god ana tuona eeeh eeh
wasikukatishe tamaa
kwamba hutofika hizo level zao
eti hunaga disprini
siku zote maneno yao
chorus
nawa delete delete delete te
nawa delete delete delete te te ×2
Random Song Lyrics :
- theweeklywab episode 1974781 - the uv sound lyrics
- listen to the water - luke steele lyrics
- the same (prod by redlimits) - juice wrld lyrics
- what would you do? - cidtronyck lyrics
- bored & out of line - direct hit! lyrics
- why (must we fall in love) - the temptations lyrics
- papi and i - sea 4 em godz lyrics
- mareed | مريض - afroto lyrics
- profusión - holkan & katherine lyrics
- end like this - matt taylor (irl) lyrics