for love - sadim mavoice lyrics
lyrics
tulipotoka pametukoma
mpaka leo tupo hapa we never go down yeah
we just go and make harder
nakama haujui trust me dunia itakushangaza
i do for the love
i do for the vibe
no matter what happenx2
i do for the love as you know ×2
hatuna pesa kama wao
ila furaha tulionayo
tunawazidi mpaka wao
hatutamani kuwa wao
tunajua maisha yao
tuna kwetu sio kwao
tuna kwetu sio kwao kwao
chorus
weooooo weooooo
oweoooooo oweoooox2
niache nikope mimi
niogope nini mimi
wakati sina mimi walikaa mbali
siteseki mimi
naishi navyopenda mimi
wanashangaa kwanini sina kitu ila niko na looovee
i do for the love
i do for the vibe
no matter what happenx2
i do for the love as you know ×2
hatuna pesa kama wao
ila furaha tulionayo
tunawazidi mpaka wao
hatutamani kuwa wao
tunajua maisha yao
tuna kwetu sio kwao
tuna kwetu sio kwao kwao
chorus
weooooo weooooo
oweoooooo oweoooox2
Random Song Lyrics :
- intro - luvre47 lyrics
- w0cky - lildombaby lyrics
- hula kula - forza firenze lyrics
- the weight - the chemical brothers lyrics
- carousel - isabella lyrics
- me dejas caer - lagarto trueno lyrics
- moonlight boy - nine aetharia lyrics
- e - jetsk! lyrics
- el censor (rechazo de la llamada) - nico miseria & swallow x lyrics
- house lights - the glorious sons lyrics